Today is My Birthday

Leo nisiku yangu ya kuzaliwa tarehe 13 inahusishwa na shetani
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha hata kufika hapa...
Nawakaribisha wana JF wote watakao weza kufika nyumbani Kibasila str karibu na Shaban Robert School mpate japo cake na pombe
Love u all
Du! nimejiuliza imekuwaje umeambatanisha hiyo red na taarifa hizi za kuzaliwa kwako lakini sijapata jibu.
Anyway, hongera zako mkuu.
 

Dah!! kazi kwelikweli, sasa unamshukuru Mungu huku unakaribisha watu pombe.........don't worry, it's just a joke
but happy birthday Boflo, wishing you longer life with more success my friend
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday
 
yani wewe ulikuwa wapi mchana kutwa kutokutuambia kuwa leo umetokea duniani kwenye maisha bora kwa kila mtanzania, halafu unasema sasa oky hongera na happy birthday waliozaliwa may ni wengi jamani hebu pungueni haaa
 
Happy birthday my luv Boflo.........japo nimechelewa.....nimeona nisikose kabisa.......
kamata na hii zawadi........
 

Attachments

  • image.jpg
    58.4 KB · Views: 34
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…