Boss naomba recomendation ya the best home theater budget isizidi laki 6 watt 1000.. ntashukuru sana. Yenye kutoa sauti quality unayoskia hadi nukta kwe sauti... ata zile sound bars if its the best option kwa best sound qualityBasi labda TV iko defective hio
nina mwaka karibia wa 2 nina TCL na inadunda tuKama mtu ameshawah tumia angalau miez 6 atupe feedback... tusije nunua tukajuta
nilikuwa silijui hili na ndio maana hitachi sizioni siku hiziHakuna wamebadilisha jina zinajulikana ka TCL kwa sasa nafikir wamenunua
mie mtumiaji mzuri sana wa TCL na mwaka wa 2 niko nayo haijawahi leta shida,JF nzima hamna mtu amewahi kutumia TCL atupe matokeo... kama hamna mtu nayo si dalili kua ni hatari kidogo..
Vipi kuhusu Hisense TV mkuu?TLC ni mchina ila aliestaarabika wana viwanda vyao wenyewe na wanauza Hadi USA. ndio hao hao wanaotengeneza simu za Blackberry na Alcatel. pia ndio brand ya tatu duniani kwa kuuza TV nyingi nyuma ya LG na Samsung.
LG ni wazuri zaidi kuliko TCL, ila TCL bei zao ni nafuu hivyo unaangalia mwenyewe na mfuko wako.
Kuhusu Ubora sijawahi tumia ila jamaa wana ofisi hapa Tanzania na spea zipo, hivyo ni bora kushinda kampuni nyingi zisizo na ofisi.
Vipi kuhusu Hisense TV mkuu?
Vv
Hata Hisense sio wabaya. ni wachina lakini ambao wanajulikana.Vipi kuhusu Hisense TV mkuu?
Vv
Chukua sony dav-dz350 hutojuta. Make sure iwe made in malaysiaBoss naomba recomendation ya the best home theater budget isizidi laki 6 watt 1000.. ntashukuru sana. Yenye kutoa sauti quality unayoskia hadi nukta kwe sauti... ata zile sound bars if its the best option kwa best sound quality
Mkuu kuna LG na Samsung zenye king'amuzi ndani, vp unaweza kuunganisha na ving'amuzi vya nje?Tv? Kwanza hakuna TLC, ni TCL.
Pili LG ni afadhali kuliko TCL.
Kwa wale wa miaka ya 1980 kama mnaikumbuka GoldStar, basi ndio imebadilika na kuwa LG.
GoldStar kiboko = LG kiboko.
Chukua Mr UK tu.sina uhakika naziona jumia kwa 2.1m
lg uhd | Jumia Tanzania
za 43' UHD ndio 1.5m
kuna mhindi mmoja yupo baina ya uhuru na sikukuu mpaka uhuru na livingstone ana LG almost model zote ukipata muda mpitie pale.
Come and thank me later hio kitu ni mwisho wa matatizoAsante sana Meku mwisho wa mwezi naivuta chap sana...
Amaizinglifestyle sinza wanauza 43" UHD 4k smart 2017 1.3 M ni mwisho..sina uhakika naziona jumia kwa 2.1m
lg uhd | Jumia Tanzania
za 43' UHD ndio 1.5m
kuna mhindi mmoja yupo baina ya uhuru na sikukuu mpaka uhuru na livingstone ana LG almost model zote ukipata muda mpitie pale.
Sana tu.Aminia man.. ishu kubwa kwangu ni quality sio sauti kubwa au mdundo... kuna ile unaskia hadi kinukta cha mwisho cha biti ya nyimbo ndio nataka io mambo.. ntaichek
Hii niliona the amazing pale sinza wmeipostCome and thank me later hio kitu ni mwisho wa matatizo
Ukisha nunua lete mrejesho namimi ninunueAminia man.. ishu kubwa kwangu ni quality sio sauti kubwa au mdundo... kuna ile unaskia hadi kinukta cha mwisho cha biti ya nyimbo ndio nataka io mambo.. ntaichek