Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,174
- 3,155
Hongereni na kz ndugu zangu!
Lema kumpa pole Rais Samia, ni jambo jema na la kibinadamu kabisa. Kosa lake Lema ni kutumia na kujificha kwenye nafasi ya mwenyekiti Tundu Lisu .
Protokali yeye hana mamlaka ya kumsemea mwenyekiti Tundu Lisu. Kusema eti Lisu alisema mahakamani wapeleke pole KWA samia. Frankly speaking alikuwa anajokes, ukimwangalia body lg yake alipokuwa anasema ilikuwa seriousless. Angekuwa kweli yupo serious angemtuma makamu wake heche officially.
Ushauli KWA Lema , next time kuwa jasiri kusema kile nafsi Yako inakuambia, no matter what people will say ? Ww ni mtumishi wa Mungu mkubwa sana out of politics. Ulikosa ujasiri wa kumpa pole Rais wewe kama wewe, ukaingiwa na (uoga) hofu ya wananchi.
Next time bro follow your "soul" mm sikulaumu KWA kutoa pole , ila kwa kukaa nyuma ya mwenyekiti. Now you are peaceless.
Mungu ibariki Tanzania by mwijilist wenu Gabeji.