TLC vs LG

TLC vs LG

Tv za TCL ni nzuri na zina ubora. Halafu zina upana zaidi kuliko vipimo vya hizi TV nyingine.
Ukichukua Samsung 43” ukiweka na TCL 43”, TCL inakua na upana zaidi ya Samsung.
 
inategemea na model na model, hapo umefananisha smart tv ya TLC na tv ya kawaida ambayo probably ni ya kizamani ya sony. lazima TCL atashinda. ila ukipata sony yenye Android TV nayo itaplay kila kitu utakachoitupia.

kiufupi kuangalia brand tu hakusaidii TV inaweza ikawa ya TCL ikawa kali kushinda samsung na LG, na kinyume chake pia ni sawa.
Sony wana hio kero, nadhani system zao huwa hawaziwekei codecs za kutosha. Nina hometheatre yao nimenunua ila naona ni bure kabisa. Inasumbua sana kusoma mafile so far haichezi mp4 file yoyote kupitia usb. Inachofanya inatoa sauti tu na kudisplay frame rate not supported. Kinachosoma ni mp3 tu je unaweza nipa solution chief
 
Hilo takataka nakupa miez 6, kuna mtoto Wa chuo sasahiv anatafuta mteja baada ya kulipeleka kwa fund, yapo ma subufer yake na radio kichaa kabisa no kikampuni kinacho anza kiko pale kkoo
Hahah mkuu umeua sana hapo, naijua hio brand ni imeibuka ghafla kama uyoga sijui hata kiwanda kipo wapi ila siwezi kutoa hata mia yangu kununua brand ya kimaskini yeyote tofauti na sea piano ambayo ndio niliitumia enzi za chuo na iko njema hadi leo nimempa bro anasukumia maisha.
 
Sony wana hio kero, nadhani system zao huwa hawaziwekei codecs za kutosha. Nina hometheatre yao nimenunua ila naona ni bure kabisa. Inasumbua sana kusoma mafile so far haichezi mp4 file yoyote kupitia usb. Inachofanya inatoa sauti tu na kudisplay frame rate not supported. Kinachosoma ni mp3 tu je unaweza nipa solution chief
mp4 ni container tu ndani inaweza ikawa na vitu tofauti tofauti. ni model gani hio hometheatre? tukiangalia specs tutaona na aina ya video ambayo ina support.
 
mp4 ni container tu ndani inaweza ikawa na vitu tofauti tofauti. ni model gani hio hometheatre? tukiangalia specs tutaona na aina ya video ambayo ina support.
Dav-dz650 mkuu hebu nichekie, halafu pia naona kama hata mziki wake inavyopiga sio mzito kama ule niliousikia kwa ile ya rafiki yangu ambayo ilinifanya niitake kununua bass iko chini mpaka ni boost na EQ ya simu, form factor ni ile ile but im having a doubt about the quality of the sound na hizo features zake.
 
mkuu nimecheki manual yake inakubali mp4, sony wanatengeneza movies hivyo sidhani kama watasuport format ambazo mara nyingi zinatumika kwenye piracy kama vile .mkv. jaribu kutafuta video converter then convert video hata moja iende mp4 ya kawaida yaani x264 then uangalie kama itaplay.

kuhusu audio pia test na mp3 yenye quality kubwa ya 320kbps uone still itakuwa na quality mbaya?.

manual yake utaipata hapa
Support for DAV-DZ650 | Downloads, Manuals, Tutorials and FAQs | Sony UK

na naona watu wengi wanasifia quality ya sauti ya hio hometheatre, umeifanyia configuration kwa usahihi chanell zote ziwe sawa?
 
Ina crisp sound na deep dynamic bass kama utaipata yenye japanese quality ambazo zinatoka malaysia kwa sasa. Kama ushatumiaga Sony Hi-fi systems zile za miaka ya 90 zilivyokuwa zinapiga balaa ndio hii theatre imetengenezwa kutoa sauti vile ila walichoboresha wameweka digital amplifier (s-master) inayofanya sound processing kwa ufanisi zaidi kuliko analog zilizotumika zamani.

Hii yangu sijai calibrate bado, pengine labda ndo shida ila so far nadhani ilitakiwa ipige zaidi. The sound i get isn't the one i expected. Pia nimefatilia naona hii yangu si ya malaysia ni arabuni for east african market, nilimuagiza mtu anichukulie ndio shida.
 
Sony TV ni balaaa. Zina specs za kutosha uwez linganisha na tv zinaitwa Boss, Kodtec, Singsung, Mo tv na takataka nyingine
Hatari sana hizo sema uwe na mfuko wa maana kununua technology ilio current kwao. Zenye bei nafuu ni zile zenye dated technology kama full hd.

Ukitaka sony 4k uhd android tv walau ya inch 48 ni kasheshe taking assumption kwamba watu wengi sahivi wanapendelea kununua screen za kati ya inch 40 mpaka 50.
 
Kwanza Sony Tv hv karibuni nilizunguka k.koo mpk nikachoka sikupata sijui hawaleti hata sielewi. Lakin ni favorite brand yangu kwenye electronics kama Tv hata sasa natumia hio inch 32 nimeichoka nataka ku upgrade. Once nilitumia Singsung very poor
 
Mimi ndio ninayotumia mpaka sasa nilianza na inchi 32, nikaja 42 na sasa nina 55 ,hizo zote haijawahi kunisumbua hata moja picha nzuri, upande wa usb inasoma files karibia zote na pia ina warrant ya mwaka mzima, kiufupi nimeiamini sana maana hapo nyuma nilikuwa mpenzi wa Sony kuanzia Sony wega ya chogo mpaka Bravia lakini kwa upande wa usb sony wamekosea sana maana baadhi ya files hazisomi kabisa kitu kilichofanya niamie upande wa pili
Niuzie hiyo ya inchi 32
 
Kwanza Sony Tv hv karibuni nilizunguka k.koo mpk nikachoka sikupata sijui hawaleti hata sielewi. Lakin ni favorite brand yangu kwenye electronics kama Tv hata sasa natumia hio inch 32 nimeichoka nataka ku upgrade. Once nilitumia Singsung very poor
Singsung ni uchafu na upotevu wa pesa sio tv ile ni kama monitor ya pc tu.

Mi ni mnazi wa sony technologies since wayback nilishawakubali wanajua wanachokifanya and always innovative.

Huwezi pata hizo kirahisi maana wateja wengi hawaziwezi bei zake sokoni, pia option zimekuwa nyingi sana sikuhizi kwa bei nafuu zaidi. Labda uende mlimani city pale kwa watu wasio na kipato cha mawazo utazikuta.

Kwa technology ya picha na sauti no one beats Sony katika hao giants wa Asia.
Sahivi Sony wametoa OLED TV isio na speaker sauti inatoka direct kwenye screen (acoustic surface technology). Hio kuinunua ni sawa na bei ya brevis moja mjini hapa.
 
Sio LG tu mi nilikuwa natumia sony bravia nikaiona haina ishu ingawa bei yake ni mkasi nikaingia kwa tcl
Mkuu hio Sony aidha haikuwa genuine ama ni toleo la zamani sana huko dukani walikushikisha, japo technolojia inabadilika kwa kasi sana ila huwezi nunua sony toleo la 2017 leo hii ukakuta ina mauza uza ya picha mbovu ama chochote tofauti labda iwe mbovu.
 
Ni genuine mkuu toleo la 2015 huwa sinunuagi vitu feki ninayo hometheatre Sony dav 275 inaingia dvd tano tangia 2008 mpaka leo ndio nayotumia na sijapeleka kwa fundi na quality ya mziki ni ileile
 
Ni genuine mkuu toleo la 2015 huwa sinunuagi vitu feki ninayo hometheatre Sony dav 275 inaingia dvd tano tangia 2008 mpaka leo ndio nayotumia na sijapeleka kwa fundi na quality ya mziki ni ileile
Basi labda TV iko defective hio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom