TLC vs LG

TLC vs LG

Mkuu kuna LG na Samsung zenye king'amuzi ndani, vp unaweza kuunganisha na ving'amuzi vya nje?
Ndio unaweza
- Utatumia HDMI cable au
- Utatumia AV cable
Kuweza kuunganisha kingamuzi chako
 
TLC ni mchina ila aliestaarabika wana viwanda vyao wenyewe na wanauza Hadi USA. ndio hao hao wanaotengeneza simu za Blackberry na Alcatel. pia ndio brand ya tatu duniani kwa kuuza TV nyingi nyuma ya LG na Samsung.

LG ni wazuri zaidi kuliko TCL, ila TCL bei zao ni nafuu hivyo unaangalia mwenyewe na mfuko wako.

Kuhusu Ubora sijawahi tumia ila jamaa wana ofisi hapa Tanzania na spea zipo, hivyo ni bora kushinda kampuni nyingi zisizo na ofisi.
Ofc zao ziko wapi kwa dar mkuu?
 
eb94d9bff3a0f4f3302b9899e0b0fc6d.jpg
miyangu nilinunuwa 880000 43 mwanza iko vizur sana ila sio smat maana simat naninyo sim
 
Roku ni operating system mkuu, ni kama tunavyosema android na ios kwenye iphone. Roku inakuja kwa kasi kwa kuwa ni mfumo mzuri na rafiki hasa kwa smart tv kwavile ni nyepesi na haitumii memory kubwa kama android tv. Pia inakupa streaming channel nyingi zaidi za free ni wewe na bundle lako tu.
Lakini ktk Ku operate vyote hivyo lazima TV iwe smart c ndio mkuu?
 
Nilkuwa natafta TV ya kununua ila nilkuwa nataka kat ya SAMSUNG au LG, ila kulinganisha na uoneshaj wa picha nikanunua TCL
 
Dav-dz650 mkuu hebu nichekie, halafu pia naona kama hata mziki wake inavyopiga sio mzito kama ule niliousikia kwa ile ya rafiki yangu ambayo ilinifanya niitake kununua bass iko chini mpaka ni boost na EQ ya simu, form factor ni ile ile but im having a doubt about the quality of the sound na hizo features zake.
MUHIMU MREJESHO : Kaka nmepata taarifa za hii Hometheater ya Sony speaker fupi kua kuna Copy na Original haswa kutoka kwa rafkiangu wa miaka yuko kariakoo kaniambia kuna Copy ambazo zinafanana mwanzo mwsho na org mpaka specification kila kitu ila hazidundi na kuna Org.. yeye anaeza tofautisha so kama yako haidundi ni copy so kwe kununua ii tafta jembe la hii mambo ndio uende na pia izi copy wanashishaga bei kidogo.
 
spika za aina nyingi pia ndefu ziko org na copy so wakat unaenda nunua tafta jembe kwanza omba na ushauri..
 
Yeah mi pia nina hakika ilo swala lazma lipo na mie nimeuziwa copy, sio original. Ubaya mi nilimtuma mtu anichukulie mzigo ila ningeenda physically ningeweza gundua hata kwa upigaji wake tu maana naujua mziki wake halisi.

Mzigo wa sony unapiga deep dynamic bass halafu nmekumbuka pia speaker yake ya subwoofer ina kitovu katikati ila haya ma copy hayana kitovu yapo flat. Pia hata ile logo ya Sony juu ya deki imekaa kishamba pia hamna stickers za kuonesha features kama bluetooth ready,dvix,5.1 channel av system n.k

Siku ya kwanza naifungua tu na kuinstall nitest nilijua tu hii sio Sony original. Ila nmeona ni usumbufu kuanza kurudi nyuma na mzigo wenyewe umetumwa kwa shida toka dar yani nikaona nipotezee tu. Inapiga kwa wastan, not that loud until niiboost na equalizer ya simu.

NB: Umefanya vema kufuatana na mtu anaezijua original sony. Kama tu kwa kutumia sikio lake anajua ku spot upi mziki Original na upi feki basi huyo sina shaka nae kabisa. Maana mziki wa hizo theatre ni outstanding. Yani ukiiskia sony OG ni tofauti kabisa na hometheatre zote ambazo unazifahamu. Sauti yake ni ya kipekee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom