TLC vs LG

TLC vs LG

Ninatumia TCL 55' smart TV, pia ninayo TCL 32' ...ni TV imara, wapo vizuri, hata kwenye ubora wa picha, kuna mtu wa karibu nilimnunulia Bruhm 32' pia ipo vizuri sijaona tofauti na hizo LG, jamaa wamewekeza kwenye technology msiwachukulie poa ni world wide brand siyo kama tecno for africa

Yeah mi pia nmenunua yangu juzi 49" smart full hd led tv. Mwanzoni mshua alinunua ya kwake 32" nikawa nimeipenda so nikapanga namimi nikitulia ntanunua yangu, so far iko vizuri sana na ni trusted brand. TCL wameamua kuzalisha tv zenye ubora na kwa bei nafuu zaidi.

Features za kwenye TCL tv ukitaka kuzinunua kwa Sony au Samsung utalazimika kuongeza 40%-60% ya bei ya TCL ili uzipate kwa hizo brand kubwa.
 
Hahahah, uliuziwa sony bomu ww, sony bravia iwe mbaya kuliko tcl? Ngoja uchekwe
Anicheke nani ndugu wakati kitu nachotumia mwenyewe hakijajitosheleza, nimeelezea juu kuwa ilikuwa haisoma baadhi ya mafile ma ilikuwa haina uwezo wa kusoma external hdd yenye uwezo mkubwa sasa hata kama ungekuwa ni wewe ungefanyeje?
 
Anicheke nani ndugu wakati kitu nachotumia mwenyewe hakijajitosheleza, nimeelezea juu kuwa ilikuwa haisoma baadhi ya mafile ma ilikuwa haina uwezo wa kusoma external hdd yenye uwezo mkubwa sasa hata kama ungekuwa ni wewe ungefanyeje?
inategemea na model na model, hapo umefananisha smart tv ya TLC na tv ya kawaida ambayo probably ni ya kizamani ya sony. lazima TCL atashinda. ila ukipata sony yenye Android TV nayo itaplay kila kitu utakachoitupia.

kiufupi kuangalia brand tu hakusaidii TV inaweza ikawa ya TCL ikawa kali kushinda samsung na LG, na kinyume chake pia ni sawa.
 
The creation life (TCL) ni bora zaidi hata kama huna decoder unawez tumia antenna ina mfumo wa (DTV) free to air,bei ni cheap kuliko LG
hata LG, samsung na watengeneza tv wengine wanayo hio feature. karibia tv zote siku hizi zinakuja na built in king'amuzi.

na kama nilivyosema hapo juu inategemea unataka nini na unanunua nini, mfano nataka high end tv ya kuchezea game au nataka quality kubwa ya kioo niangalizie content za 4k vitu kama dolby na HDR 10 huwezi fananisha quality ya panel za LG za oled na kioo cha TLC.
 
Mie nilinunua aboder 32nch sijui itakuwaje mie niliipenda make kioo cha nje ni kigumu tofauti na hizi nyingine ambazo kuna karatasi ngumu
Hilo takataka nakupa miez 6, kuna mtoto Wa chuo sasahiv anatafuta mteja baada ya kulipeleka kwa fund, yapo ma subufer yake na radio kichaa kabisa no kikampuni kinacho anza kiko pale kkoo
 
yani nimegoogle hilo jina results zote za Kitanzania tu. itakuwa ni re brand, kuna mtu kaenda china kanunua tv kaeka jina lake.
Mkuu hio ni takataka ipo pale kkoo jamaa anatoa China direct, wamachinga waziuza sana cos cheap
 
Naomba ushauri kwa wenye expirience kutumia TLC tvs ziko vipi zinadumu? na quality yake vp na kama zinausumbifu...

zinaeza kuizidi lg kwa ubora ntashukuru sana.

Tv? Kwanza hakuna TLC, ni TCL.
Pili LG ni afadhali kuliko TCL.
Kwa wale wa miaka ya 1980 kama mnaikumbuka GoldStar, basi ndio imebadilika na kuwa LG.
GoldStar kiboko = LG kiboko.
 
Hela nyingi sana hio, nenda amazing lifestyle kwa 1.7 wanakuuzia hio tv. Mi nilinunua TCL nchi 49 smart tv na sony home theatre kwa pamoja january mwanzoni vyote kwa 1.8m
Namjua huyo muuzaji TV,,, nataka nifumbe macho nkanunue Samsung 40'... Hvii inawezekana kumshusha bei?
 
Anicheke nani ndugu wakati kitu nachotumia mwenyewe hakijajitosheleza, nimeelezea juu kuwa ilikuwa haisoma baadhi ya mafile ma ilikuwa haina uwezo wa kusoma external hdd yenye uwezo mkubwa sasa hata kama ungekuwa ni wewe ungefanyeje?
Mkuu hiyo ilikua defective,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom