TLC vs LG

TLC vs LG

eb94d9bff3a0f4f3302b9899e0b0fc6d.jpg
miyangu nilinunuwa 880000 43 mwanza iko vizur sana ila sio smat maana simat naninyo sim
Mkuu hyo ni DAV DZ 350?
 
Yeah mi pia nina hakika ilo swala lazma lipo na mie nimeuziwa copy, sio original. Ubaya mi nilimtuma mtu anichukulie mzigo ila ningeenda physically ningeweza gundua hata kwa upigaji wake tu maana naujua mziki wake halisi.

Mzigo wa sony unapiga deep dynamic bass halafu nmekumbuka pia speaker yake ya subwoofer ina kitovu katikati ila haya ma copy hayana kitovu yapo flat. Pia hata ile logo ya Sony juu ya deki imekaa kishamba pia hamna stickers za kuonesha features kama bluetooth ready,dvix,5.1 channel av system n.k

Siku ya kwanza naifungua tu na kuinstall nitest nilijua tu hii sio Sony original. Ila nmeona ni usumbufu kuanza kurudi nyuma na mzigo wenyewe umetumwa kwa shida toka dar yani nikaona nipotezee tu. Inapiga kwa wastan, not that loud until niiboost na equalizer ya simu.

NB: Umefanya vema kufuatana na mtu anaezijua original sony. Kama tu kwa kutumia sikio lake anajua ku spot upi mziki Original na upi feki basi huyo sina shaka nae kabisa. Maana mziki wa hizo theatre ni outstanding. Yani ukiiskia sony OG ni tofauti kabisa na hometheatre zote ambazo unazifahamu. Sauti yake ni ya kipekee.
Mkuu hapa tutapona sasa?
 
Mkuu hapa tutapona sasa?
Nashauri usinunue sony isiotoka Malaysia mkuu. Fanya research tu nenda hata kwa dealers wa sony OG upate kusikia ile kitu OG kisha ingia madukani hapo mjini utaweza ku spot Original sound na feki. Ila maduka ya wahindi nadhani ndio wanazo za kutoka malaysia ambazo ndo OG fanya hivyo mkuu.
 
Nashauri usinunue sony isiotoka Malaysia mkuu. Fanya research tu nenda hata kwa dealers wa sony OG upate kusikia ile kitu OG kisha ingia madukani hapo mjini utaweza ku spot Original sound na feki. Ila maduka ya wahindi nadhani ndio wanazo za kutoka malaysia ambazo ndo OG fanya hivyo mkuu.
Nitafanya hivo mkuu..mana 700 kupotea hivi hivi sio poa
 
Tv za TCL ni nzuri na zina ubora. Halafu zina upana zaidi kuliko vipimo vya hizi TV nyingine.
Ukichukua Samsung 43” ukiweka na TCL 43”, TCL inakua na upana zaidi ya Samsung.
Huu ni upumbavu. Hizo inches " ni upana wa kioo sió kopo. Sasa iweje zote zíwe na 43" halafu ya TCL iwe kubwa.
Nyie ndo huwa mnasema kati ya kilo ya manyoya ya kuku na kilo ya mawe kuwa kuwa kilo ya Mawe ni nzito
 
mkuu nimecheki manual yake inakubali mp4, sony wanatengeneza movies hivyo sidhani kama watasuport format ambazo mara nyingi zinatumika kwenye piracy kama vile .mkv. jaribu kutafuta video converter then convert video hata moja iende mp4 ya kawaida yaani x264 then uangalie kama itaplay.

kuhusu audio pia test na mp3 yenye quality kubwa ya 320kbps uone still itakuwa na quality mbaya?.

manual yake utaipata hapa
Support for DAV-DZ650 | Downloads, Manuals, Tutorials and FAQs | Sony UK

na naona watu wengi wanasifia quality ya sauti ya hio hometheatre, umeifanyia configuration kwa usahihi chanell zote ziwe sawa?
Mkuu nimenot kitu hapo. Umesema MKV inatumika kwenye piracy. HOW na ni format gani nyingine amabazo sio official recognized.
 
Huu ni upumbavu. Hizo inches " ni upana wa kioo sió kopo. Sasa iweje zote zíwe na 43" halafu ya TCL iwe kubwa.
Nyie ndo huwa mnasema kati ya kilo ya manyoya ya kuku na kilo ya mawe kuwa kuwa kilo ya Mawe ni nzito

Usione watu wengine wana akili ndogo kama wewe.
 
Usiseme kwa ajili ya africa tu maana TCL kwa USA ndio brand inayouza sana baada ya LG,Samsunga na Sony. Huku bongo ukifatilia TCL haina zaidi ya miaka 3 toka wafanyabiashara waanze kuzileta.
Mkuu ilikuwepo tangu 2014,,tatizo haikuwa inatangazwa
 
Its obvious ila nilianza kuziona kwa wingi 2015 kwenye outlets mbali mbali mjini. Ila kwa sasa nadhani wengi watakuwa wanaijua na angalau kuwahi kuitumia
Mkuu ilikuwepo tangu 2014,,tatizo haikuwa inatangazwa
 
Huu ni upumbavu. Hizo inches " ni upana wa kioo sió kopo. Sasa iweje zote zíwe na 43" halafu ya TCL iwe kubwa.
Nyie ndo huwa mnasema kati ya kilo ya manyoya ya kuku na kilo ya mawe kuwa kuwa kilo ya Mawe ni nzito
Huenda jamaa amechanganywa kingo za kwenye T.V husika mkuu. Unajua wakati tv zinaanza toka hasa hizi LCD TV baadhi zilikuwa na kingo pana sana hasa Samsung series 4, LG, Sony Bravia.

Kipimo cha kioo kinachukuliwa diagonally from one corner of the screen to the corresponding other. Therefore TV zote zitakuwa na panel sawa kwa inches husika ila kingo ndo zitafanya moja ionekane kubwa kuliko nyingine ila size (inches) zinapimwa kwenye panel husika.

Kwa mtazamo wangu kilichomchanganya huyu bwana ni kingo za TV labda maana Tv yenye kingo pana itaonekana kubwa kidogo kuliko nyenzake kwa haraka.
 
Nina TCL Mwaka wa 6 sasa , haijawahi kunisumbua hata siku moja nilinunua kwa ajili ya bedroom na Hisense kwa ajili ya sitting room siku moja lkn Hisense imekufa Mwaka sasa, sipingani na Ubora wa brand ya LG lkn hz TCL si mbaya na bei yake ni reasonable.
Kitu nilichogundua kwenye Tvs brand sio issue sana cha muhimu ni quality ya picha na hz features za kisasa km smart TV,LED nk. kwa sasa nimenunua StarX sitting room ina utendaji mzuri sana kushinda hata Ile Hisense.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom