Tcl ni Hitachi zamani..Tcl ndio nini? TV NI SAMSUNG NA LG...MKOREA MWENYEWE
Cc: salum s hemed
Ina maana sasa hivi hitach hakuna tena??Tcl ni Hitachi zamani..
Hakuna wamebadilisha jina zinajulikana ka TCL kwa sasa nafikir wamenunuaIna maana sasa hivi hitach hakuna tena??
Mie nilinunua aboder 32nch sijui itakuwaje mie niliipenda make kioo cha nje ni kigumu tofauti na hizi nyingine ambazo kuna karatasi ngumuTLC ni mchina ila aliestaarabika wana viwanda vyao wenyewe na wanauza Hadi USA. ndio hao hao wanaotengeneza simu za Blackberry na Alcatel. pia ndio brand ya tatu duniani kwa kuuza TV nyingi nyuma ya LG na Samsung.
LG ni wazuri zaidi kuliko TCL, ila TCL bei zao ni nafuu hivyo unaangalia mwenyewe na mfuko wako.
Kuhusu Ubora sijawahi tumia ila jamaa wana ofisi hapa Tanzania na spea zipo, hivyo ni bora kushinda kampuni nyingi zisizo na ofisi.
Latest 2017 HitachiHakuna wamebadilisha jina zinajulikana ka TCL kwa sasa nafikir wamenunua
Mkuu Life Good...japo hio unayoizungumzia sio TV mbaya ila kwa LG inasubiri kwa kila kitu...Naomba ushauri kwa wenye expirience kutumia TLC tvs ziko vipi zinadumu? na quality yake vp na kama zinausumbifu...
zinaeza kuizidi lg kwa ubora ntashukuru sana.
Mkuu naweza Pata LG 49 Inch (UHD) kwa Sh.1,800,000?TLC ni mchina ila aliestaarabika wana viwanda vyao wenyewe na wanauza Hadi USA. ndio hao hao wanaotengeneza simu za Blackberry na Alcatel. pia ndio brand ya tatu duniani kwa kuuza TV nyingi nyuma ya LG na Samsung.
LG ni wazuri zaidi kuliko TCL, ila TCL bei zao ni nafuu hivyo unaangalia mwenyewe na mfuko wako.
Kuhusu Ubora sijawahi tumia ila jamaa wana ofisi hapa Tanzania na spea zipo, hivyo ni bora kushinda kampuni nyingi zisizo na ofisi.
yani nimegoogle hilo jina results zote za Kitanzania tu. itakuwa ni re brand, kuna mtu kaenda china kanunua tv kaeka jina lake.Mie nilinunua aboder 32nch sijui itakuwaje mie niliipenda make kioo cha nje ni kigumu tofauti na hizi nyingine ambazo kuna karatasi ngumu