Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Nafikiri bado hamjamjua magu ninyi. Hao wate wataenda kupiga magoti kwa kuomba msamaha kwake na 2020 watempigia kampeni magu na mtaendelea kushangaa pia. 2010 kikwete alipiga kampeni za kifamilia ( lidhiwani na mama salma) Ila sio kwa magu ninae mfaham. Mtajutia hizi porojo zenu.
 
Nyie vichelema wa siasa mnakumbuka hii? Akina Quinine Salary Slip akina Alvin A. Zitto etc
Saivi upepo wa moto kapanic kwan picha ina ubaya gani kwanza keshazeeka hana ushawishi apumzike zaje[emoji57]
 
Oooh, mbona 'game' lisha kwisha kabla ya kuanza.
Timu Jiwe 5... na hao wengine 0. Hata magoli ya mikono refa anaruhusu.
Sio kwa watazamiji ss labda FULL ARMY ihusike ila kwa sera Mnang'oka
 
Tupeni line up ya upande wa pili maana hadi sasa ni jina la msemaji wao tu musiba ndiyo lina display
 
Ni case tofauti hizo. Wengine walikuwa madctator wamekaa muda mrefu madarakani. Kwa Magufuli wanachi wapo nae. Nendeni nje muone watu wanamuunga mkono Magufuli Bwana.
Sasa anauogopea nini uchaguzi ndani ya chama chake?
 
Huko sahihi, ngoja nitafute hiyo speech
Hayumbishwi wakati tayari kamteua Bashe ambae alikuwa analalamika kuwindwa na wasiojulikana huku Mzee mwenyewe akiapa hatowateua Wabunge wanaokosoa Serikal Bungeni

Kuyumbishwa ni pamoja na kufanya usiopanga kuyafanya

Simbachawene karudishwa walau kuziba ‘sifulia la udongo’ lililoanza kuvuja wakati unatafuta sifuria la bati kukabiliana na mvua kali inayolowanisha jiko
 
Hiyo k yake umeinusa na kuiramba mara ngapi?
Ndio hapo hawa vijana wa juzi akili zao ziko below zero, eti Mange kinuka K ni mtu wa kum quote, ukiona hivyo, akili za aliye mquote Mange ni zaidi ya kihiyo, nitwit, most arrogant..!!
 
Back
Top Bottom