Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Kumbe hujui watu! Mzee Msekwa, Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi ni Magufuli kindakindaki
Tena mzee Mwinyi akifikiria future ya mtoto wake Kuupata urais wa zenji ndo anaona kabisaaaa bora aendelee ku-side na Magu,Mkapa yeye ndo hamna haja ya kusema anajulikana ni msela wake.
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
Mara Paap wanahamia upinzani halaf Kikwete anapewa second chance anagombea urais 2020😂😂😂 hatari sana
 
Allah ampe hikma Rais wetu Magufuli kama alivyompa Jk kipindi kama hiki cha Mgogoro 2009 mpaka ikafikia hatua hatuachiani glass bar ukienda chooni ukirudi unarudisha glass counter unachukua nyingine wengine wakakataa kabisa kutumia glass, ukifungua chupa unapiga talumbeta ukimaliza ndio walau unaweza kugeuza shingo au kupokea simu

Kilikuwa kipindi kigumu sana kama hiki
Safari hii mtawekeana mpaka kwenye nguo
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
referee Nani?
 
Pole ila sio kosa lako. Amiri jeshi mkuu ni Rais Magufuli. Commander in chief of the Army.

Kwenye pambano litakalohusisha timu mbili zote zikiwa za ccm kwa mara ya kwanza vyombo vya ulinzi na usalama vitajifunza kutoegemea upande wowote. Badala yake vitalinda usalama tu na kuwaachia wanasiasa washindane kwa hoja na siyo kwa mabavu.
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
Hatimae ile mahakama ya mafisadi inaenda kupata wateja wake 👏👏👏
 
Magufuli jeshi la mtu mmoja. Hayumbishwi na hao vikaragosi. Magufuli ndo kashika nchi. Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote.
Unaona unakimbilia jeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann usiseme mwenyekiti wa CCM???
 
Wote hao wana maslahi na CCM. Hakuna Jipya, ni sisi walala hoi ndiyo wa kuamua kwamba hakuna tena CCM Kucheka nao.
Watanzania tutajikomboa wenyewe dhidi ya Ccm na Utawala wa Kishenzi akili zikitujia.
Shukrani sana linapokuja swala la ccm wote wanaungana now wanaparurana sababu wanahisi kutolewa kwenye ulaji
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
Kwa kumuweka mkapa kama refa, magoli yote ya timu tajwa hapo juu ni haram. Kati ya watu wanamkubali JPM, ni Mkapa.
Alafu kwa list hii maana yake chadema wakafie mbele, hawana nafasi.
Kimambi kama kawa anacheza na kushika akili za mataahira.
 
Ndio hapo hawa vijana wa juzi akili zao ziko below zero, eti Mange kinuka K ni mtu wa kum quote, ukiona hivyo, akili za aliye mquote Mange ni zaidi ya kihiyo, nitwit, most arrogant..!!
Povu ruksa ukitoka pitia lumumba kachukue mgawa usisahau kuwaonesha coment yako
 
Back
Top Bottom