Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
Timu nzuri sana na wachezaji ni wa kimataifa wenye uzoefu, lkn tatizo VAR,

hii kitu sijui ililetwa kwa ajili ya timu za Afrika tuu, arghaa.

gettyimages-999448178-6c69.jpg
 
Allah ampe hikma Rais wetu Magufuli kama alivyompa Jk kipindi kama hiki cha Mgogoro 2009 mpaka ikafikia hatua hatuachiani glass bar ukienda chooni ukirudi unarudisha glass counter unachukua nyingine wengine wakakataa kabisa kutumia glass, ukifungua chupa unapiga talumbeta ukimaliza ndio walau unaweza kugeuza shingo au kupokea simu

Kilikuwa kipindi kigumu sana kama hiki
 
Magufuli jeshi la mtu mmoja. Hayumbishwi na hao vikaragosi. Magufuli ndo kashika nchi. Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote.


Hayumbishwi wakati tayari kamteua Bashe ambae alikuwa analalamika kuwindwa na wasiojulikana huku Mzee mwenyewe akiapa hatowateua Wabunge wanaokosoa Serikal Bungeni

Kuyumbishwa ni pamoja na kufanya usiopanga kuyafanya

Simbachawene karudishwa walau kuziba ‘sifulia la udongo’ lililoanza kuvuja wakati unatafuta sifuria la bati kukabiliana na mvua kali inayolowanisha jiko
 
Back
Top Bottom