Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Wote hao wana maslahi na CCM. Hakuna Jipya, ni sisi walala hoi ndiyo wa kuamua kwamba hakuna tena CCM Kucheka nao.
Watanzania tutajikomboa wenyewe dhidi ya Ccm na Utawala wa Kishenzi akili zikitujia.
The best comment! Sijui tutajifunza lini, wapenzi wakigombana chukua jembe kalime. Chadema achaneni na maugomvi ya CCM hamjifunzi tu!!!
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
Excellent! Go! go ! guys we need change no matter positive or negative!
 
Tanzania ni nchi nzuri sana! Mhe. Magufuli ni bonge Rais, nchi inasonga na maendeleo yanakwenda. Kelele za mjini ni ndogo mno! Na ni anawajua hao wanaoguswa na utawala, kwa maslahi mapana ya nchi. Kule Mtopwa Newala, kule busekela majita, kule ukerewe na Busokela. Wananchi wa kawaida hawana mbadala wa Magufuli. Ushauri kwa serikali. Walipe watumishi madeni yao na ongeza mishahara tena mwezi huu. Wape walimu allowance ya chakula @ 45,000/ na pia manesi/ madaktari. Ongeza kidogo kw a idara nyingine, unaweza songeza ununuzi wa ndege moja mbele. Kelele hizi zitapita kama umande wa asubuhi. Nijuavyo Magufuli ana support er kibao! Wacha Mungu wa dhati wanamuunga mkono hata kama wanaumia!
 
Mimi kwa hii list siamini naona tu mtu kaamua kutunga kukoleza mambo... Ila itokee ni kweli basi something z wrong somewhere kwa mukulu..haiwezekani watu wakubadilikie hv. Am sure kila kiongozi akiingia madarakani anapanga safu yake na ni kawaida. Y sasa hv iwe ni ishu. Kama ni kweli basi kuna kitu hakiko sawa.wat makes u thnk wao ndo ma traitor.
By the way kamwe hawakuwahi kuwa nae. Pamoja na kuvunja makundi ya kuchagua kwenye kutafuta mgombea. The good news is kuna watu kibao wapo nae. Ndo maana hata kwenye uchaguzi huwezi kupata kura asilimia mia.
 
Kwangu naona poa tu,na hiyo team yao itasalia kuwa ya mchangani tu,tumuache mzee apige kazi na atunyooshe bila upendeleo
 
Kwa hali tuliyopo, ilikuwa vema hata vyama vyote vingefutwa. Tuanze upya. Tuwe na vyama vitatu vyenye nguvu.

Adui mkubwa wa maendeleo ya nchi hii ni CCM. Hawa ndiyo kipingamizi kikubwa cha mabadiliko yoyote chanya kwa nchi yetu:
1) Hawataki tuwe na katiba nzuri mpya
2) Hawataki tuwe na Tume Huru
3) Hawataki tuwe na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyoongozwa na weledi
4) Hawataki tuwe na sheria nzuri. Wakati wote wanafikiria kutengeneza sheria gandamizi dhidi ya raia

CCM ambayo zamani tuliamini ingetuongoza kuelekea kwenye matumaini, imegeuka kuwa laana kwa Taifa letu.

Mungu wetu, kwa sababu sisi ni wabinafsi, waoga, tuliohaa unafiki, tuliokosa umoja wa kikabiliana na laana yetu, kwaajili ya manufaa ya wanetu na wajukuu zetu, tunaomba utuondolee laana hii tuliyo nayo CCM, ili kila mmoja kwa kadiri ulivyomjalia, aweze kuchangia katika maendeleo ya nchi yetu.
 
Hawa jamaa si mchezoView attachment 1158819
IMG-20190721-WA0008.jpeg
 
Allah ampe hikma Rais wetu Magufuli kama alivyompa Jk kipindi kama hiki cha Mgogoro 2009 mpaka ikafikia hatua hatuachiani glass bar ukienda chooni ukirudi unarudisha glass counter unachukua nyingine wengine wakakataa kabisa kutumia glass, ukifungua chupa unapiga talumbeta ukimaliza ndio walau unaweza kugeuza shingo au kupokea simu

Kilikuwa kipindi kigumu sana kama hiki
Hizi ni dua zako binafsi,.
 
Magufuli jeshi la mtu mmoja. Hayumbishwi na hao vikaragosi. Magufuli ndo kashika nchi. Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote.
Kweli kabisa, ila hata Mubarak waMisri alikuwa Amiri Jeshi wa jeshi kubwa kuliko ya Afrika nzima, Zuma na Mbeki wakati ANC zinawang'oa walikuwa maamiri jeshi wakuu huko South na hata Albashiri Kule Sudan ndio alikuwa CDF.
Hivyo kuwa na mamlaka hayo pekee hakukupi guarantee ya kudumu madarakani kama unachanganya mambo
 
Kweli kabisa, ila hata Mubarak waMisri alikuwa Amiri Jeshi wa jeshi kubwa kuliko ya Afrika nzima, Zuma na Mbeki wakati ANC zinawang'oa walikuwa maamiri jeshi wakuu huko South na hata Albashiri Kyle Sudan ndio alikuwa CDF.
Hivyo kuwa na mamlaka hayo pekee hakukupi guarantee ya kudumu madarakani kama unachanganya mambo
Ni case tofauti hizo. Wengine walikuwa madctator wamekaa muda mrefu madarakani. Kwa Magufuli wanachi wapo nae. Nendeni nje muone watu wanamuunga mkono Magufuli Bwana.
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
Refa ni Mungu mambo ni fireeeeee
 
Simbachawene Aliboronga Ofisi Ya Rais Akaondoka Na Ripoti Ya Tume Ya Uchunguzi Ya Tanzanite. Rais Akasema Akikuteua Ukaharibu Hawezi Kukuteua Tena Ili Usiharibu Sehemu Nyingine Sasa Simbachawene Karudishwa Upya! JE Inamana Rais Kasahau Kauli Yake Au CCM Imehishiwa Watu Wa Kuteua?

Lawama zote kwa John
 
Nina Uhakika
Wapishi wa Ikulu wamebadilishwa
Waleta groceries wamebadilishwa wote
 
Ni case tofauti hizo. Wengine walikuwa madctator wamekaa muda mrefu madarakani. Kwa Magufuli wanachi wapo nae. Nendeni nje muone watu wanamuunga mkono Magufuli Bwana.
Vic unakuwa kama mgeni na siasa za Tanzania? Kupendwa gani unazungumzia mkuu wangu?
Hapa kwetu hakuna tofauti na Zimbabwe, Mugabe wakasema anashinda kwa 90% halafu jeshi lilipo muondoa 90% wakaingia mtaani kushangilia.
Hapa MPE mpinzani dakika 45 kusimama kuhutubia madhaifu ya serikali ya Magufuli kisha tembeza kura ya maoni hapohapi uone atakavyo chakazwa! Ndio hali hiyo
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]

Huu ni uchochezi na uchonganishi. Tusiwachafue wazee ambao wameitumikia nchi hii. Tafadhali wanajamvi tuwajibike.
 
Simbachawene Aliboronga Ofisi Ya Rais Akaondoka Na Ripoti Ya Tume Ya Uchunguzi Ya Tanzanite. Rais Akasema Akikuteua Ukaharibu Hawezi Kukuteua Tena Ili Usiharibu Sehemu Nyingine Sasa Simbachawene Karudishwa Upya! JE Inamana Rais Kasahau Kauli Yake Au CCM Imehishiwa Watu Wa Kuteua?

Lawama zote kwa John
Wewe nae unakera kila thread unaweka comment moja tu ya simbachawene.
 
Back
Top Bottom