Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
Hapo naona ni 3-0
 
Magufuli jeshi la mtu mmoja. Hayumbishwi na hao vikaragosi. Magufuli ndo kashika nchi. Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote.
Mkuu nakuona uko kwenye mahaba makuu kwa Jiwe.Kumbuka hiki chama kilishawahi mshinda mpaka muanzilishi akang'atuka.Pamoja na nia njema ya azimio la Arusha,lilifeli.Mfupa alioushindwa fisi mbwa hauwezi.Jiwe kuachia ngazi ni suala la muda tu!
 
Shit!! Story za Instagram za CD Mange ndo unazileta huku


Ndio hapo hawa vijana wa juzi akili zao ziko below zero, eti Mange kinuka K ni mtu wa kum quote, ukiona hivyo, akili za aliye mquote Mange ni zaidi ya kihiyo, nitwit, most arrogant..!!
 
Ndio hapo hawa vijana wa juzi akili zao ziko below zero, eti Mange kinuka K ni mtu wa kum quote, ukiona hivyo, akili za aliye mquote Mange ni zaidi ya kihiyo, nitwit, most arrogant..!!
Sawa bibie
 
Hiyo Team ndio iliyokua inaimba CCM INA WENYEWE,sasa wanataka kuirudisha mikononi mwao baada ya kunyang'anywa na jiwe...Je WATAWEZA!?!?!
Mbwa akishakamata uhondo wake huwezi kumnyang'anya labda kwa kumjeruhi.
 
Naona ishu inayohusu CHAMA, kuna comment za wadau wanajadili kwa kuhusisha NCHI...!!! This is CCM na sio Tanzania
 
Mkuu nakuona uko kwenye mahaba makuu kwa Jiwe.Kumbuka hiki chama kilishawahi mshinda mpaka muanzilishi akang'atuka.Pamoja na nia njema ya azimio la Arusha,lilifeli.Mfupa alioushindwa fisi mbwa hauwezi.Jiwe kuachia ngazi ni suala la muda tu!
Kwa hili nipo na mukulu. Sipendi usaliti.Mtu unamchekea ukiwa nae,huku nje unamuundia kikosi cha kisasi. I hate traitors.
 
Mimi furaha yangu ni kuona tu ccm inakufa kifo cha mende! Hayo ya nani kapoteza, nani kapata sitayatilia maanani. Haya makundi ya ccm asilia na ile ya wahamiaji yaliyoanza kujipambanua wazi wazi, huenda yakatuletea matokeo chanya siku za usoni.
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]
Kumbe hujui watu! Mzee Msekwa, Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi ni Magufuli kindakindaki
 
By Mange Kimambi:

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) mseminari, kachelo

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela.

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA [emoji23]

Unajidanganya na Mnajidanganya sana tu. Bahati nzuri hata hawa Wote uliowataja hapa Kanuni Kuu za Michezo ya Kimafia ambayo nayo walishaifanya mno Kipindi chao wanazijua na najua hawawezi Kuthubutu kufanya lolote lile kwa Mafia aliyepo sasa. Naona ni kama tu mnajifurahisha na uliponishangaza zaidi ni hapo ulipomtaja huyo Mwamuzi ( Referee ) wakati kama kuna Watu ambao ndiyo wanasikilizwa Kiushauri na ndiyo Mafia wa sasa anawaheshimu na lolote wakimwambia anatii ni huyo Referee wako, Kadinali Pengo, Mzee Butiku, Mzee Mangula, Jaji Mstaafu Mzee Warioba na bila Kuwasahau Wastaafu Wawili Mmoja wa Idara ya Njiwa aliyekuwa Mkurugenzi na Mwingine alikuwa ni Mkuu wa Kimedani wenye Makao Makuu yao Upanga ( Majina nayahifadhi )
 
Wote hao wana maslahi na CCM. Hakuna Jipya, ni sisi walala hoi ndiyo wa kuamua kwamba hakuna tena CCM Kucheka nao.
Watanzania tutajikomboa wenyewe dhidi ya Ccm na Utawala wa Kishenzi akili zikitujia.
Ndikwega unayosema ni kweli lakini mbadala wa CCM hakuna, lazima watu watengeneze chama imara ambacho kinaweza kupewa ridhaa na wanachi ya kuunda dola, bila ya hivyo upinzani utakuwa ni kama mchezo wa kuigiza tu. Chama tawala hakina nia ya kuwepo upinzani nchini ndiyo maana unayaona yanayotokea kwa wapinzani mara kufunguliwa kesi za ajabu, mara kutekwa mara kupotezwa. Tumejengewa hofu ndiyo maana tunashindwa kuyaeleza yaliyo moyoni waziwazi.
 
Back
Top Bottom