Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Katika hili ninamuunga mkono Mheshimiwa Rais. CCM na Tanzania ni yetu sote, sio ya mtu au kikundi cha watu fulanifulani. Halafu wakati wa kubebana umeshapita.

Lini hujawahi kuungana na jiwe wew fisimaji?
 
Tanzania ni nchi nzuri sana! Mhe. Magufuli ni bonge Rais, nchi inasonga na maendeleo yanakwenda. Kelele za mjini ni ndogo mno! Na ni anawajua hao wanaoguswa na utawala, kwa maslahi mapana ya nchi. Kule Mtopwa Newala, kule busekela majita, kule ukerewe na Busokela. Wananchi wa kawaida hawana mbadala wa Magufuli. Ushauri kwa serikali. Walipe watumishi madeni yao na ongeza mishahara tena mwezi huu. Wape walimu allowance ya chakula @ 45,000/ na pia manesi/ madaktari. Ongeza kidogo kw a idara nyingine, unaweza songeza ununuzi wa ndege moja mbele. Kelele hizi zitapita kama umande wa asubuhi. Nijuavyo Magufuli ana support er kibao! Wacha Mungu wa dhati wanamuunga mkono hata kama wanaumia!

Wewe na familia yako ndiyo mnamuunga mkono jiwe
 
Simbachawene Aliboronga Ofisi Ya Rais Akaondoka Na Ripoti Ya Tume Ya Uchunguzi Ya Tanzanite. Rais Akasema Akikuteua Ukaharibu Hawezi Kukuteua Tena Ili Usiharibu Sehemu Nyingine Sasa Simbachawene Karudishwa Upya! JE Inamana Rais Kasahau Kauli Yake Au CCM Imehishiwa Watu Wa Kuteua?

Lawama zote kwa John

Hivi unamchukulia jiwe seriously
 
Wote hao wana maslahi na CCM. Hakuna Jipya, ni sisi walala hoi ndiyo wa kuamua kwamba hakuna tena CCM Kucheka nao.
Watanzania tutajikomboa wenyewe dhidi ya Ccm na Utawala wa Kishenzi akili zikitujia.
tuchague chama gani kitaje kwa jina
 
Jamani jamani someni propaganda za CCM kila uchaguzi ukikaribia wanajitengenezea migogoro halafu kwenye uchaguzi wanakuwa na wagombea wao tu.

Please huu ugomvi fake msiuwingie waacheni wenyewe hawa ndio baadae wanaunga juhudi mkono. This time wamejilipua na watu wengi wanaoamini mnawakubali.
Hivi wadukuliwe hao tu yaani mdukuaji ameedit au alikuwa selective???

Mbili yake inawezekana vipi wateule wapya wasafi yaani hata DAB?????

Ebu huu ujazzband wekeni kando kwanza.
 
Mkuu this time sio movie ni LIVE!! Wait and see
Ccm asili vs ccm makanjanja
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
Chochea Chochea!!!!! January Kumbe ni JAMBAZI ana kovu MGUUNI la risasi.
 
Kumbe hujui watu! Mzee Msekwa, Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi ni Magufuli kindakindaki
Unajidanganya na Mnajidanganya sana tu. Bahati nzuri hata hawa Wote uliowataja hapa Kanuni Kuu za Michezo ya Kimafia ambayo nayo walishaifanya mno Kipindi chao wanazijua na najua hawawezi Kuthubutu kufanya lolote lile kwa Mafia aliyepo sasa. Naona ni kama tu mnajifurahisha na uliponishangaza zaidi ni hapo ulipomtaja huyo Mwamuzi ( Referee ) wakati kama kuna Watu ambao ndiyo wanasikilizwa Kiushauri na ndiyo Mafia wa sasa anawaheshimu na lolote wakimwambia anatii ni huyo Referee wako, Kadinali Pengo, Mzee Butiku, Mzee Mangula, Jaji Mstaafu Mzee Warioba na bila Kuwasahau Wastaafu Wawili Mmoja wa Idara ya Njiwa aliyekuwa Mkurugenzi na Mwingine alikuwa ni Mkuu wa Kimedani wenye Makao Makuu yao Upanga ( Majina nayahifadhi )
Tena ameyumba vibaya mno !
Umeona mfano? Nimekuwekea hapo. Kipo mwishoni kabisa.
Kwa kumuweka mkapa kama refa, magoli yote ya timu tajwa hapo juu ni haram. Kati ya watu wanamkubali JPM, ni Mkapa.
Alafu kwa list hii maana yake chadema wakafie mbele, hawana nafasi.
Kimambi kama kawa anacheza na kushika akili za mataahira.
Mliokuwa mnamtetea Mkapa.oneni hii
FB_IMG_1564225423303.jpeg
 
Wote hao wana maslahi na CCM. Hakuna Jipya, ni sisi walala hoi ndiyo wa kuamua kwamba hakuna tena CCM Kucheka nao.
Watanzania tutajikomboa wenyewe dhidi ya Ccm na Utawala wa Kishenzi akili zikitujia.

Ni ajabu na kweli kuwa ni watu wachache sana tu ndo wanauwezo wa kuliona hili unaloliona wewe..
Ni ngumu sana kwa yeyote mwenye maslahi ya kudumu chini ya mfumo wa kiudhalilishaji wa ccm kuvuka mstari (kuzikacha mila na desturi za ccm) na kuwa upande wa pili (upande wa wananchi)..
Ni ngumu sana..
Japo lolote laweza kutokea..
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
Hao wote wanakalishwa na magufuli hata akijitoa ndani ya ccm agombee kama mgombea binafsi tunampa nchi
 
Ina team ingine mchezaji ni mmoja tu ambaye ana malaika kama eliya ? He he he
 
Ni ajabu na kweli kuwa ni watu wachache sana tu ndo wanauwezo wa kuliona hili unaloliona wewe..
Ni ngumu sana kwa yeyote mwenye maslahi ya kudumu chini ya mfumo wa kiudhalilishaji wa ccm kuvuka mstari (kuzikacha mila na desturi za ccm) na kuwa upande wa pili (upande wa wananchi)..
Ni ngumu sana..
Japo lolote laweza kutokea..
Bila shaka upo sawa Mkuu. Tumeombee Watanzania kawaida wajitambue ndiyo utakuwa mwsho wa udhalimu wa CCM.
 
Back
Top Bottom