Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Hayumbishwi wakati tayari kamteua Bashe ambae alikuwa analalamika kuwindwa na wasiojulikana huku Mzee mwenyewe akiapa hatowateua Wabunge wanaokosoa Serikal Bungeni

Kuyumbishwa ni pamoja na kufanya usiopanga kuyafanya

Simbachawene karudishwa walau kuziba ‘sifulia la udongo’ lililoanza kuvuja wakati unatafuta sifuria la bati kukabiliana na mvua kali inayolowanisha jiko
Asallalle!

Naona 'tipping point' ndio tayari!
 
ha ha ha

wazee wa kubett wekeni mzigo mapema kabisa

Mimi naweka Upande wa Burigi pesa yangu mapema mapema kabisaaa

Mambo NI meengiii muda mchachee mazeee
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA

Hapo kwenye Refariiiii ndio nimecheka sana douh!!!!!
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
Hawawezi hata kidogo
 
Kumbe hujui watu! Mzee Msekwa, Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi ni Magufuli kindakindaki
Nyie vichelema wa siasa mnakumbuka hii? Akina Quinine Salary Slip akina Alvin A. Zitto etc
 
Nyie vichelema wa siasa mnakumbuka hii? Akina Quinine Salary Slip akina Alvin A. Zitto etc
Kwa akili yako ulitegemea aseme nini, hata mimi ningesema alivyosema Mwinyi.
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
Kwa hiyo itacheza timu moja tu!!
 
Wote hao against Magu.

Magu is truly gangster.

One man army.

Eti gangstarr??!

Mtu akimsikia Membe anakua kichaa kabisa!

Mtu akimskia January Makamba anapagawa duniani hakuna!

Mtu ana madaraka hapa na Mecca ila muoga ngedere anasubiri!

Maarifaless!
 
Eti gangstarr??!

Mtu akimsikia Membe anakua kichaa kabisa!

Mtu akimskia January Makamba anapagawa duniani hakuna!

Mtu ana madaraka hapa na Mecca ila muoga ngedere anasubiri!

Maarifaless!
Kikwete sawa ila sio Yule. Yule ni jiwe Kweli kweli.
 
Back
Top Bottom