Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
Acheni Porojo fanyeni kazi, mliangaika na CAG badae mkapiga kimya, hili nalo mmelivalia njuga utafikiri nyie ndo wahusika, andaeni kauli zingine za kuandika baada ya wiki mbili, maana toka yameanza kusemwa cjaona impact yoyote, watu wako busy na mamb yao nyie mnapiga porojo mitandaoni
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib BilalCopy and paste

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
Copy from Mange Kimambi.
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
Hawapo kwenye kamati kuu (CC) Ukumbuke JPM Alisha haribu mitandao yote ya CCM na kuweka ya kwake. Angalia upepo kwa sasa. 85,% wako na jiwe
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
MTaua
 
Ulimsikia mwenyewe. Mtihani mnatunga wenyewe kwa ajili yenu na majibu mnajjpa. Mtateseka sana
Hayumbishwi wakati tayari kamteua Bashe ambae alikuwa analalamika kuwindwa na wasiojulikana huku Mzee mwenyewe akiapa hatowateua Wabunge wanaokosoa Serikal Bungeni

Kuyumbishwa ni pamoja na kufanya usiopanga kuyafanya

Simbachawene karudishwa walau kuziba ‘sifulia la udongo’ lililoanza kuvuja wakati unatafuta sifuria la bati kukabiliana na mvua kali inayolowanisha jiko
 
Magufuli jeshi la mtu mmoja. Hayumbishwi na hao vikaragosi. Magufuli ndo kashika nchi. Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote.
Huwa napenda sana kutumia Kiswahili cha Kenya, wao husema: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yenye Silaha (Commander In Chief of the Armed Forces). Unaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi lakini Majeshi yako yakawa hayana silaha! Ila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Amiri Jeshi Mkuu ambaye majeshi yake yana silaha!!
 
Huwa napenda sana kutumia Kiswahili cha Kenya, wao husema: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yenye Silaha (Commander In Chief of the Armed Forces). Unaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi lakini Majeshi yako yakawa hayana silaha! Ila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Amiri Jeshi Mkuu ambaye majeshi yake yana silaha!!
Kabisa yaani,kanifurahisha sana kuwang'amua wanaompinga nje huku wakiwa nae wanamsifia.Bora adui unaemfahamu kuliko rafiki usiyemjua.
 
Vikaragosi ndio wanaangusha serikali kama Yule dada wa Sudan(Alaah Salah)
Cases tofauti kabisa,Rais wa Sudan alikaa madarakani kwa muda gani?Magufuli ni Rais aliepita kidemokrasia kabisa.Narudia tena hakuna vikaragosi wa kumzuia Rais aliyepo madarakani kikatiba kabisa.
 
Hao wote ni vikaragosi ndani ya Commander in Chief Himself JP Magufuli ni ngangari haswa na hababaishwi na mtu. Magufuli ni Jeshi la mtu mmoja
 
naona kamati ya propaganda cdm wamekaa vizuri kabisa hapa,
ngoja nijaribu kuweka timu pinzani hapa,
1-msiba,
2-mulo
3-lemutus beki mstaarabu,
4david kafulia
5
6
7
 
Wezi hao maisha yamewageuka, walikuba tuliwe yafaa waachwe nao waliwe
 
Back
Top Bottom