Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Shirika La Wachochea Kuni Tanzania [SHIWAKUTA] Linapenda Kuwapongeza Wanachama Wake Kwa Kazi Kubwa Ya Kuchochea Moto Waliyoifanya Mpaka Sasa! Hata Hivyo Shirika Linawakumbusha Wanachama Wake Kutosahau Kuongeza Kuni Na Kuchochea Ili Moto Uwake Zaidi.

Diasporajay

Katibu Mwenezi SHIWAKUTA
Naendelea kupuliza moto ili uwake vizuri
 
Umeongea point
Vic unakuwa kama mgeni na siasa za Tanzania? Kupendwa gani unazungumzia mkuu wangu?
Hapa kwetu hakuna tofauti na Zimbabwe, Mugabe wakasema anashinda kwa 90% halafu jeshi lilipo muondoa 90% wakaingia mtaani kushangilia.
Hapa MPE mpinzani dakika 45 kusimama kuhutubia madhaifu ya serikali ya Magufuli kisha tembeza kura ya maoni hapohapi uone atakavyo chakazwa! Ndio hali hiyo
 
Allah ampe hikma Rais wetu Magufuli kama alivyompa Jk kipindi kama hiki cha Mgogoro 2009 mpaka ikafikia hatua hatuachiani glass bar ukienda chooni ukirudi unarudisha glass counter unachukua nyingine wengine wakakataa kabisa kutumia glass, ukifungua chupa unapiga talumbeta ukimaliza ndio walau unaweza kugeuza shingo au kupokea simu

Kilikuwa kipindi kigumu sana kama hiki
Watoto watakuelewa, wakongwe tunakushangaa
 
Ni uwanja wa siasa ndani ya CCM

1. Mh. Nchimbi

2. Mh. Chikawe

3. Mh. Mama Ghasia

4. Mh. Mzee Kinana

5. (Mkoba) ni Mh. Mwandosya

6. (Kiungo mkabaji) January Makamba

7. Mh. Riz one Kikwete

8. (Kiungo mshambuliaji) Mh. Dr. Mwigulu Mchemba

9. Membe (Baba la Baba) Mseminari, Kachero

10. Mh. Nape Moses Nnauye

11. Mh. Ngereja

SUBSTITUTION (SABU)

Mama malecela

Mama Samia

Mama Salma Kikwete

Mh. Kitwanga

Mh. Mwijage

Mh. Hassan Masala

Mh. Dkt. Charles Tizeba

Prof. Sospeter Muhongo

Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Sofia Simba

BENCHI LA UFUNDI

1. Jakaya Kikwete

2. Mzee msekwa

3. Mzee Samuel Malecela

4. Mzee Ghalib Bilal

5. Mh. David Msuya

6. Mzee Mwinyi

7. Mzee Makamba

Mtanange ndio kwanza unaanza, mtoto hatumwi dukani, unaambiwa usichelewe Unga robo.

Usisahau referee atakua MZEE MKAPA
hassan masala?
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, oneni wenyewe...Jeshi la kondoo linaloongozwa na simba vs jeshi la simba lonaloongozwa na kondoo...maziwa yakishamwagika, hayazoeleki. Ngoja nilale, CCM bye bye...mkishagawana mbao mnigutue!
 
Swali zuri sana! Kati ya watu ambao familia zao zinagugumia maumivu ya utawala huu ni yeye. Lakini malofa kama Mystery Salary Slip BAK Quinine etc hawakumbuki ile sakata ya wakati wa maleccela na kolimba mpaka Mwalimu akatunga kitabu. Akifafanua alisema ukimtoa rais lazima nchi itikisike ila wengine wanaweza kuondoka. Tuishie hapo
 
Sijui Jecha atafiti kwenye nafasi gani hapo? Au ni kucontrol VAR ya ndani, yaani kikifungwa goal yeye anamwambia refa wa uwanjani kuwa ni off side.
 
Back
Top Bottom