Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

Shirika La Wachochea Kuni Tanzania [SHIWAKUTA] Linapenda Kuwapongeza Wanachama Wake Kwa Kazi Kubwa Ya Kuchochea Moto Waliyoifanya Mpaka Sasa! Hata Hivyo Shirika Linawakumbusha Wanachama Wake Kutosahau Kuongeza Kuni Na Kuchochea Ili Moto Uwake Zaidi.

Diasporajay

Katibu Mwenezi SHIWAKUTA
 
Unajidanganya na Mnajidanganya sana tu. Bahati nzuri hata hawa Wote uliowataja hapa Kanuni Kuu za Michezo ya Kimafia ambayo nayo walishaifanya mno Kipindi chao wanazijua na najua hawawezi Kuthubutu kufanya lolote lile kwa Mafia aliyepo sasa. Naona ni kama tu mnajifurahisha na uliponishangaza zaidi ni hapo ulipomtaja huyo Mwamuzi ( Referee ) wakati kama kuna Watu ambao ndiyo wanasikilizwa Kiushauri na ndiyo Mafia wa sasa anawaheshimu na lolote wakimwambia anatii ni huyo Referee wako, Kadinali Pengo, Mzee Butiku, Mzee Mangula, Jaji Mstaafu Mzee Warioba na bila Kuwasahau Wastaafu Wawili Mmoja wa Idara ya Njiwa aliyekuwa Mkurugenzi na Mwingine alikuwa ni Mkuu wa Kimedani wenye Makao Makuu yao Upanga ( Majina nayahifadhi )
Jumefuka moshi mzew baba kinachomuweka Jpm madarakani sio chama ni jeshi na tiss baaasi
Ndani ya chama ni undaundava sii demokrasia
 
Mods.nadhani waweke kitufe cha dislike.This is one of those threads which I dislike.Ni thread chonganishi sana.
Kipo mkuu sema hujui kukitumia ukitumia PC utakiona kitumie ujumbe utanifikia
 
Allah ampe hikma Rais wetu Magufuli kama alivyompa Jk kipindi kama hiki cha Mgogoro 2009 mpaka ikafikia hatua hatuachiani glass bar ukienda chooni ukirudi unarudisha glass counter unachukua nyingine wengine wakakataa kabisa kutumia glass, ukifungua chupa unapiga talumbeta ukimaliza ndio walau unaweza kugeuza shingo au kupokea simu

Kilikuwa kipindi kigumu sana kama hiki
Dah!!

Hahah! Umenikumbusha mbali sana yaani kipindi Mwaki anatoka magamba kama nyoka ma Dr balozi kule Sweden walimtegeshea kinasa sauti pale st.gasper hotel
 
Tena mzee Mwinyi akifikiria future ya mtoto wake Kuupata urais wa zenji ndo anaona kabisaaaa bora aendelee ku-side na Magu,Mkapa yeye ndo hamna haja ya kusema anajulikana ni msela wake.
Ndani kunafukuta balaa
 
Mara Paap wanahamia upinzani halaf Kikwete anapewa second chance anagombea urais 2020[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana
Hapa saivi ni bonge la juisi ya miwa miksa mabisi nimechili naangalia gemu na kuchochea kuni moto usizime[emoji41][emoji41][emoji41]
 
We jamaa huwa nakuelewa sana madokezo yako yanaakili ila hutaki kufunguka zaidi
Allah ampe hikma Rais wetu Magufuli kama alivyompa Jk kipindi kama hiki cha Mgogoro 2009 mpaka ikafikia hatua hatuachiani glass bar ukienda chooni ukirudi unarudisha glass counter unachukua nyingine wengine wakakataa kabisa kutumia glass, ukifungua chupa unapiga talumbeta ukimaliza ndio walau unaweza kugeuza shingo au kupokea simu

Kilikuwa kipindi kigumu sana kama hiki
 
Kwa hili nipo na mukulu. Sipendi usaliti.Mtu unamchekea ukiwa nae,huku nje unamuundia kikosi cha kisasi. I hate traitors.
Mimi kwa hii list siamini naona tu mtu kaamua kutunga kukoleza mambo... Ila itokee ni kweli basi something z wrong somewhere kwa mukulu..haiwezekani watu wakubadilikie hv. Am sure kila kiongozi akiingia madarakani anapanga safu yake na ni kawaida. Y sasa hv iwe ni ishu. Kama ni kweli basi kuna kitu hakiko sawa.wat makes u thnk wao ndo ma traitor.
 
Hayumbishwi wakati tayari kamteua Bashe ambae alikuwa analalamika kuwindwa na wasiojulikana huku Mzee mwenyewe akiapa hatowateua Wabunge wanaokosoa Serikal Bungeni

Kuyumbishwa ni pamoja na kufanya usiopanga kuyafanya

Simbachawene karudishwa walau kuziba ‘sifulia la udongo’ lililoanza kuvuja wakati unatafuta sifuria la bati kukabiliana na mvua kali inayolowanisha jiko
Mbona umeanza kuwananga wenzio au wewe team membe
 
Back
Top Bottom