Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,420
- 613
Piga *148*88# mkuu wanakuletea menu wewe chagua kifurushi cha MB 800 kwa wiki kwa elfu moja tu!
Hicho hakuna cha university wala primary jiunge kokote hata shimoni..lol
Hebu jifanye unajiunga kwa kutumia hiyo code, ukimaliza njoo hapa tena utueleze vizuri. Naomba uchague hiyo ya week