Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Ya kweli haya mbona mie sioni chochote
1b869564e57cea8179cddd7eecf4245a.jpg

Ni kweli kabisa mkuu. Sms waliyontumia tigo ni hiyo hapo, na sasa naweza kujiunga popote. Ila mimi ni mwanafunzi, sijajua kama utaratibu huu ni kwa watu wote au la
NB: Sikujisajili wala kujiandikisha popote
 
Mwenyewe niliwakimbia mana ukiunga kifurushi mb hamsini hazikukaa hata dakika tatu nikahamia airtel nakula raha zangu kwa buku MB 800 hafu haziishi haraka na wao wakiona watu wengi si ajabu waanze wizi ka wa Tigo na Voda.
kwa ile menu yako unapata mb 150 kwa 1000 kwa wiki
 
Tigo wamehamishia vifurushi vya chuo kwenye menyu ya kawaida, piga *148*00# kisha chagua university offer na utaweza kupata kifurushi kinachojumuisha 1 GB na vitu vingine popote ulipo.
Katika menyu ya kawaida hakuna kifurushi cha university offer acha kudanganya watu bhana au na wewe unafanya kazi Tigo?
 
1b869564e57cea8179cddd7eecf4245a.jpg

Ni kweli kabisa mkuu. Sms waliyontumia tigo ni hiyo hapo, na sasa naweza kujiunga popote. Ila mimi ni mwanafunzi, sijajua kama utaratibu huu ni kwa watu wote au la
NB: Sikujisajili wala kujiandikisha popote
Basi hakuna kitu kama hicho hawa jamaa wazingua hakuna hiyo kitu labda kama ni kwa wanafunzi tu
 
Basi hakuna kitu kama hicho hawa jamaa wazingua hakuna hiyo kitu labda kama ni kwa wanafunzi tu
Haya mabadiliko ya vifurushi kuhamishwa nahisi itakua kweli ni kwa wanafunzi pekee kama ulivyosema mkuu. Huwa najiunga vya chuo kwa *148*00# na ndo vina mpaka 1gb, ila nimejaribu sahivi kupiga *148*01*20# na ikaleta vifurushi vya mb 10. Bila shaka wamefanya mabadiliko hayo kuhakikisha ni wanafunzi pekee watakaotumia hii huduma
 
Piga *148*00# chagua offer maalum kisha chagua university offer.
 
Nisaidie Mdogo wangu niipate maana hii imekuwa kasheshe!!
Nachojua unaenda na id yako tigo shop yoyote then tigo wana register sim card yako tuu ndo unakuwa free kujiunga popote me nilifanya hvyo last year.....! Ila halotel na voda ndo naona wanauza sim card zao pale chuo ambazo zinakuwa registered papo kwa papo na unaenjoy university offers.

Now tupo likizo .... Tukirudi next semester tutacheki utaratibu
 
Haha kumbe kwa wanafunzi tu wengine tulimaliza kitambo sana so haitowezekana tena. Hili suala la data linaumiza sana kwa sasa!!
 
Mawakala wa halotel wanauza mm sio mwanafunz lakini nmesajili........Mshikaji wangu ni wakala so kanisajilia.
Kesho ninaenda kununua halotel sita kuusikia huru upumbafu wa kuitwa Tigo kwanza ndio maana Tigo inatafsirika mpk na mashoga
 
Njoeni halotel jaman mbaka raha mi nilipo hamna hata chuo lakin bando la chuo najiunga
 
Attachments

  • Screenshot_2016-03-17-17-20-39.png
    Screenshot_2016-03-17-17-20-39.png
    89 KB · Views: 51
Halotel ndio habari ya mjini, sijui nao wanatuvuta ili tukiwa wengi nao waanze figisufigisu???
 
Wapuuuuz hawa et mb 10 sasa hyo cm c hata pic huchui ya waxup mbwaaaa tuuu kuku hawaaa
 
Back
Top Bottom