Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.
kweli dada?, itabidi nihamie tu airtel
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.
Unajiungaje mkuu?HALOTEL 1500=dk 150(halotel-halotel), Sms 1500, Gb 1 per week.
Kitambo hicho kaka......kweli dada?, itabidi nihamie tu airtel
*148*55# Ukiwa na lain ya chuo unajiunga popote.Unajiungaje mkuu?
Saizi unapewa mb 10Tuliokuwa tunapanga foleni maeneo ya vyuo vikuu kujiunga vifurushi vya wasomi vya bei rahisi sasa mambo si mambo tena tigo wameshashusha vifurushi vyao vya tigo university offer kutoka 1GB kwa 1500 kwa wiki sasa ni 500MB tu na sekunde 9000.
Uzuri wenu hiyo offer ilikuwa kimya kimya hamuipi promo.
Soon nakuja hukoHALOTEL 1500=dk 150(halotel-halotel), Sms 1500, Gb 1 per week.
mm leo nimejilipua na halotel. kiukweli vizur tigo byebye.Soon nakuja huko
Tigo wamehamishia vifurushi vya chuo kwenye menyu ya kawaida, piga *148*00# kisha chagua university offer na utaweza kupata kifurushi kinachojumuisha 1 GB na vitu vingine popote ulipo.Hii si haki MB 10 kwa wiki?
Hiyo ni kweli kabisa mkuu...tigo wenyewe walintumia sms kunifahamisha hilo. Sasa vifurushi ni kama vinavyoonekana hapo chiniTigo wamehamishia vifurushi vya chuo kwenye menyu ya kawaida, piga *148*00# kisha chagua university offer na utaweza kupata kifurushi kinachojumuisha 1 GB na vitu vingine popote ulipo.
Ya kweli haya mbona mie sioni chochoteHiyo ni kweli kabisa mkuu...tigo wenyewe walintumia sms kunifahamisha hilo. Sasa vifurushi ni kama vinavyoonekana hapo chini![]()