Badili laini zako kwenda university kwa 4000 tu, mitandao yote

Jan 2, 2018
31
37
UNIVERSITY OFFERS
Karibu uunganishwe na huduma ya Tigo&vodacom university offers, huduma itakayokuwezesha kujiunga na vifurushi vya chuo ukiwa mahali popote pale. Kuunganishwa ni kwakulipia shilingi za kitanzania. Tsh 4000pekee

Utaratibu wa kuungwa number itaingizwa kwenye system kuanzia mda ulipapo na baada ya sa 24 itakuwa tayar.

Vitu vinavyoitajika
1. Number ya tigo au voda
2. Jina la usajili wa line yako
3. 4000
ni PM sasa au whatsapp 0712192406

Vifurushi utakavyoweza kujiunga sehemu yoyote ni kama ifuatavyo

1.Sh500 dk 60+sms500+Mb 1000 ( SAA 24)
2.Sh 1500= Dk 215+ sms5000+ Mb 1600 ( siku 7)
3.Sh 500 Mb 1000 (siku 7)
4Sh 500 Dk 100 mitandao yote ( siku 7)

Uhaminifu wangu 100% nina watu wengi wamepata huduma yangu.

Furahia internet na dakika kibao ,usisitesite tena kuperuzi.

NI KWA WATUMIAJI WA TIGO NA VODA PEKEE......

KARIBUNI SANAA
 
Hivyo Vifurushi ulivyo viorodhesha, Ni vya Mtandao gani?
 
Mpaka sasa, vodacom uki-dial *149*02# unajiunga uni ofa popote ulipo. Airtel nayo ukinunua kupitia Airtel money kuna option ya uni ofa. Labda kwa Halotel na tiGO pekee ndiyo hawana hiyo kitu. Hapo voda na airtel si lazima uwe na laini ya chuo. Laini yako uliyonayo sasa.
 
Mkuu malipo ya hii huduma ni kiasi gani?
 
Mpaka sasa, vodacom uki-dial *149*02# unajiunga uni ofa popote ulipo. Airtel nayo ukinunua kupitia Airtel money kuna option ya uni ofa. Labda kwa Halotel na tiGO pekee ndiyo hawana hiyo kitu. Hapo voda na airtel si lazima uwe na laini ya chuo. Laini yako uliyonayo sasa.

Menu inakuja lakin huwez kujiunga
 
Mpaka sasa, vodacom uki-dial *149*02# unajiunga uni ofa popote ulipo. Airtel nayo ukinunua kupitia Airtel money kuna option ya uni ofa. Labda kwa Halotel na tiGO pekee ndiyo hawana hiyo kitu. Hapo voda na airtel si lazima uwe na laini ya chuo. Laini yako uliyonayo sasa.
Heb nije ujanja unaungaje maana nshawahi kuambiwa na mtu mwingine nikAdial voda *149*02# nikapata menu ya university Ofa ila ikaja msg kwamba siwez kuunganishwa.
 
Hataki hata kukanyaga tena huku, au ndiyo huyu amebadirisha ID au wapo kampuni moja
Kuweni makini wandugu kuna yule wa 9000 alisema anaunga watu ...wengine tukatapeliwa elfu 9 zetu
 
Back
Top Bottom