Endelea kupata ofa huko. Sisi tupo na halotel tunapiga mzigo. Nafurahi sana kujiunga na mtandao mkubwa wa halotelwakuu hawa tigo wiki jana nilipewa offer ya dk 450 kupiga tigo-tigo. na nimepigaa weeeee but leo nimeangalia salio nimekuta salio la dk zaid ya 810 kupiga tigo-tigo. hivi ni kwangu tu na nyie mmepata hii offer???
Uko mkoa gani?kuwa makini nao wataanza kukuibia salio lako hadi ukome.wakuu hawa tigo wiki jana nilipewa offer ya dk 450 kupiga tigo-tigo. na nimepigaa weeeee but leo nimeangalia salio nimekuta salio la dk zaid ya 810 kupiga tigo-tigo. hivi ni kwangu tu na nyie mmepata hii offer???
unazipataje nifah? naomba maelekezo. na yenyewe ni university offer?
Ila hiyo code mpya ya voda kujiunga,inaitaji uwe umesajiliwa chuo kwako kama ni mwanafunzi!!Voda wamebadili jinsi ya kujiunga kifurushi cha chuo. Zamani ilikuwa *149*02# ila kwa sasa ni *149*42# unapata dk 150 voda-voda na 1GB kwa wiki.
Mbona mimi sijasajiliwa na nimejiunga?Ila hiyo code mpya ya voda kujiunga,inaitaji uwe umesajiliwa chuo kwako kama ni mwanafunzi!!
Unapiga ngapi kupata hizo mb 800 kwa wiki airtelHahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.
Aisee!! basi inachagua watu,kuna watu kama 10 nimewapa hiyo code wajaribishe wakiwa mazingira ya chuo imekataa,wakiwa nje ya chuo imekataa.Ila kuna wengine wawili ambao walisajiliwa chuoni kwao wiki mbili zilizopita,inakubali kokote wanapojiunga na hiyo code!! Kwako nadhani utakuwa exception hongera kwa hilo!!Mbona mimi sijasajiliwa na nimejiunga?
Hata mimi sijajua imekuwaje manake kuna watu wengine inakataa. Hivi kusajiliwa lazima uwe mwanachuo?Aisee!! basi inachagua watu,kuna watu kama 10 nimewapa hiyo code wajaribishe wakiwa mazingira ya chuo imekataa,wakiwa nje ya chuo imekataa.Ila kuna wengine wawili ambao walisajiliwa chuoni kwao wiki mbili zilizopita,inakubali kokote wanapojiunga na hiyo code!! Kwako nadhani utakuwa exception hongera kwa hilo!!
Halotel 1.3 gb per week..na speef matatakweli dada?, itabidi nihamie tu airtel
Hiyo Halotel unapiga namba ngapi kupata hiyo menu?Halotel 1.3 gb per week..na speef matata
Uwe umesajili line ya mwanachuo..Hiyo Halotel unapiga namba ngapi kupata hiyo menu?
Hiyo unayosema ni mpk uwe mwanachuo sie tumezoea kitongaWajanja bado tunapata GB 1 dk 130 SMS 1500 piga *148*00# kisha chagua Offer Maalum Kisha Chagua University Offer utajionea mwenyewe tgo Express Urself bhana!!! Acheni kujiunga kwa *148*01*20# hii imepitwa na Wakati