Michael Mtitu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 693
- 512
*148*88# kupata mb 800 zenye nguvu kwa sh 1000 kwa wiki.
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.
Hiko kifurushi cha airtel kinakua na sms pia ili tujiongeze huko mana kutumia line nying nako shida.
Kumbe tuko jungu moja...
Na nikihitaj kufownload mazagazaga naweka 6GB kwa 6000tuu yaani raha mustarehe maana yake kila GB ni shilingi 1000 tuu
unazipataje nifah? naomba maelekezo. na yenyewe ni university offer?
Aaaah mimi na wewe tena?
Tuliokuwa tunapanga foleni maeneo ya vyuo vikuu kujiunga vifurushi vya wasomi vya bei rahisi sasa mambo si mambo tena tigo wameshashusha vifurushi vyao vya tigo university offer kutoka 1GB kwa 1500 kwa wiki sasa ni 500MB tu na sekunde 9000.
Uzuri wenu hiyo offer ilikuwa kimya kimya hamuipi promo.
Tatizo tigo wanapatikana mjini tu, vijijini ni huduma ya meseji na kupiga cm tu, na kama kuna internate ni 2G tu ukitaka hata kusoma gazeti online itafikiria weeeee mwisho unaamua izima. tigo wakumbuke kuna distant learners wengi wao wapo vijijini.
Na ndipo alipopatia wateja huko ndio maana maeneo mengi vijijini unakuta wengi Airtel, niliwahi kwenda Rorya kama sikosei panaitwa Kamwana vocha ya tigo nilizunguuka kuipataKatika mtandao ambao uko vizuri kwa maeneo ya vijijini ni Airtel pekee wako vizuri sana bila ubabaishaji.
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.
Umetumia kiungo gani kufikiri ama kweli akili nyingine bora hata ya sisimizi.
Na ndipo alipopatia wateja huko ndio maana maeneo mengi vijijini unakuta wengi Airtel, niliwahi kwenda Rorya kama sikosei panaitwa Kamwana vocha ya tigo nilizunguuka kuipata
Wanafunzi awasomii wao Instagram tu wache waapunguzie mpaka mb 8 wasome
Umetumia kiungo gani kufikiri ama kweli akili nyingine bora hata ya sisimizi.
Tuliokuwa tunapanga foleni maeneo ya vyuo vikuu kujiunga vifurushi vya wasomi vya bei rahisi sasa mambo si mambo tena tigo wameshashusha vifurushi vyao vya tigo university offer kutoka 1GB kwa 1500 kwa wiki sasa ni 500MB tu na sekunde 9000.
Uzuri wenu hiyo offer ilikuwa kimya kimya hamuipi promo.
unapotosha. Ni mb 500 pamoja na dk 150. Airtel ni mb za net tu
Ngoja tuitafute line ya airtel sasa.