Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,705
Kwa masikitiko makubwa nikiwa ni mteja wa muda mrefu bila kuchepuka wa mtandao pendwa wa tigo natoa malalamiko yangu juu yanayohusu mabadiliko yaliyofanyika katika kifurushi cha University Offer.
Mbona tigo imeamua kupunguza kwa kiwango kikubwa bila huruma muda wa kuexpire kwa kifurushi cha university wiki cha internet cha 500 kutoka siku saba hadi tatu na kutoka mb 500 hadi mb 400. Kisha mbaya zaidi katika kifurushi chenyewe kile maarufu cha university wakatushusha kutoka Dakika 150 hadi dakika130 na sasa hivi hatimaye ni dakika 100. Sms kutoka 15,000 hadi sms 100 tu kweli jamani
Haya wakaona haitoshi wakaamua kumalizia kwa kutukomoa watumiaji kwa kufuta kutoka gb 1 hadi mb 500 na sasa wakaamua kukomesha zaidi kwa kuweka mb 10 hivi kweli?! Na kule kwenye namba *148*00# mkaidelete hii offer ya university. Dah hivi kweli mnataka haya maisha yawe vipi kwa kutunyima haki yetu ya msingi ya matumizi ya huduma hizi za mawasiliano kwa kutupandishia magharama bila kosa lolote
Inauma sana mimi kama mteja ninajisikia vibaya sana kwakuwa nimekaa na ninyi tigo kwenye hii namba yangu kwa zaidi ya miaka kumi sasa wala sikuwahi kuibadili halafu leo mnakaa kabisa timu ya masoko mnapanga viwango hivi vya kibabaishaji na vya kukera kwetu sisi wateja.
Mteja ni mfalme sasa kama mnalijua hilo ndio nawaagiza sasa mjue kuwa vijana wasasa maisha yetu bila airtime ....bundle za internet na sms za kutosha kwa gharama nafuu maisha yetu yanakuwa ni magumu sana maana tunategemea sana hizi huduma kuendesha maisha yetu.
Naomba hatua za haraka zichukuliwe kubadili hii hali na marekebisho yafanyike kwenye kazi ya watendaji especially meneja wenu wa masoko ambaye kwa stahili hii naona anajali zaidi mshahara wake zaidi ya maslahi ya kampuni ya tigo..........Hebu rekebisheni hivyo vifurushi.
Hii offer mliyoianzisha na hizi gharama haviendani mkiendelea namna hii mimi nitahamia hallotel au mitandao mingineyo ambayo inaelewa na kujali maslahi ya wateja wao at any cost even if it means at the expense of the company.
Acheni mambo ya kitoto this is business but the way you are taking it feels like extortion.