Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,328
Ndugu yangu unataka kunizidishia matatizo zaidi ya niliyokuanayo!
Thank you anyway.
Msaada jinsi ya kujiunga na hiyo huduma kwa Tigo please.
Ndugu yangu unataka kunizidishia matatizo zaidi ya niliyokuanayo!
Thank you anyway.
Msaada jinsi ya kujiunga na hiyo huduma kwa Tigo please.
Msaada jinsi ya kujiunga na hiyo huduma kwa Tigo please.
umaarufu wa JF unasaidia nini??????
kuna time unakua huna kazi maalum, hujatingwa kazi inakua ku comment JF
ila with time majukum yakiongezeka...... kasi inapungua
Kweli Heaven on Earth, kama upo idle jf ni mahali pazuri sana pa kupunga upepo..., huwezi kuwa bored...
Ila km upo busy utaishia kuwaota usiku watu maarufu au watani zako wa humu jukwaani😛
haaaa au ukiwa single huna wa kukupet pet hapa utaenjoije
stress free....... mzima wewe
Mzima HoE, naona kipindi kile ni either ulikuwa single au ulikuwa unatembea na bahasha mkononi mpaka ukaota vigimbi ukisaka kitu cha kukufanya uwe mbali na jf😉
hahaaaaaaaaaaaaaa umenichekeshaje
nilikua sina kazi ya kueleweka na sina mupenzi
can you imagine hapo LOL.....
kama ni university offer ni *148*01*20#
Thanks mkuu.
Hope now bahasha zako zishapokelewa, ila bado hilo la pili ambapo mm naweza kujitokeza niwe muwekezaji wa kigeni🙄😉
mwekezaji keshapatikana ..... umechelewa
hahah miss uhebu nifundishe namna ya kujiunga na hicho cha MB 800 kwa buku,...kuna mtu anatumia airtel lkn haelewi namna ya kuunga kifurushi anakikuta akinunua muda wa maongezi wa wiki ambao una mb chache
hahah miss u
te te te te te upo...miss you four!
sasa nambie huyo ulotaka kumuunga na kifurushi ni nani kabla sijakujazi watu hapa
te te te te te...ni dogo al-maalufu chaliii wa mujini
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
hebu itume hii mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh kwenye pm!!:yo: