Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Piga *148*88# mkuu wanakuletea menu wewe chagua kifurushi cha MB 800 kwa wiki kwa elfu moja tu!
Hicho hakuna cha university wala primary jiunge kokote hata shimoni..lol

Sasa ivi ni buku2 1gb hakuna cha buku tena jana niliumbuka
 
Utatolewa tezi dume ndugu yangu ushindwe kushangilia Yanga tukichukua ubingwa. ..ohoooo.
Wengine sisi wake za watu na waume zetu wapo hukuhuku.

Ha ha ha ha...tezi dume...kama ya lepresident
 
Naona kifurushi cha OMG 800MB cha buku cha Airtel nacho kimeyeyuka. Hivi sasa kifurushi cha chini cha wiki ni 1GB kwa 2000.
 
Hahahaaa,wewe cheka tu.Mwenzio alienda kutibiwa Marekani sasa wewe sijui utaenda Tanga kwa babu?..lol

Nasikia zanzibar inatibiwa japo sijui kwa nn jamaa alienda marekani...ila namhurumia sijui kama game atapiga tena au watu watapata u-DC bila kutumika
 
hebu nifundishe namna ya kujiunga na hicho cha MB 800 kwa buku,...kuna mtu anatumia airtel lkn haelewi namna ya kuunga kifurushi anakikuta akinunua muda wa maongezi wa wiki ambao una mb chache

Airtel kwa wiki tsh 1000=DK40 1GB SMS1000 *148*17#
 
Nasikia zanzibar inatibiwa japo sijui kwa nn jamaa alienda marekani...ila namhurumia sijui kama game atapiga tena au watu watapata u-DC bila kutumika

Aisee yule mzee wetu anavyopenda hizo mambo si atakufa?
Isijekua ndio maana alienda mbele huko ili akafanyiwe upasuaji mzuri ili aendelee na games kama kawa?
 
Unakuta watu wazima wamejipanga sehemu fulani vyuoni kujiunga. Unadhani tigo wajinga wameshapromoti line zao na kuziuza vya kutosha sasa wamewazodoa. Na bado hata huko airtel wakiwavuta wakitosheka wanazodoa pia.
 
Back
Top Bottom