Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

asa ivi naona wameamua mana ata airtel omg wiki ilikuwa mb 800 buku asa ivi wamechange 1 gb afu buku 2 kaaazi kweli kweli
 
wanauniversity wameharibiwa deal na wasio',,, inakuja sasa ya kuingiza reg.No. ya mwanachuo ndo ujiunge! utaponea wapi mpenda offer?
 
Hahahaaa,kweli tigo ni wezi jamani.MB 500 kwa 1500?
Mimi napata MB 800 kwa elfu moja tu kwa wiki kutoka Airtel na wala hizo sekunde sina shida nazo.

Dah! Nilizan nimewapata tgo kumbe nimepatikana...mweee....
 
Ahahah...ni sheda...saiv na mantain..natumia mb nikiona hamna ishu mpya..data off...namchek mchumba kwa hewa
 
Umeona eeh? Internet iko fasta na wiki iliyopita naangalia salio MB zilikua nyingi hadi ikabidi nizichezee youtube ziishe.

Nifah!!!!!!! Ile kuwasifia tuuu!!!!!! Wameongeza 100%!!!!
Tanzania my country!!!!!!!!!!
 
Tuliokuwa tunapanga foleni maeneo ya vyuo vikuu kujiunga vifurushi vya wasomi vya bei rahisi sasa mambo si mambo tena tigo wameshashusha vifurushi vyao vya tigo university offer kutoka 1GB kwa 1500 kwa wiki sasa ni 500MB tu na sekunde 9000.

Uzuri wenu hiyo offer ilikuwa kimya kimya hamuipi promo.

Inabidi waanzishe KANISANI OFFER NA NI MPAKA UINGIE NDANI… ..😀😀😀😀😀
 
Acha tu WAPOMA!Bila shaka nao wanatembelea sana humu naona sifa zimezidi ndio wakafanya yao wapumbavu sana hao airtel.

Mi nataman wajisahau wato 0.whatsapp kama wapivotoaga facebook ya bure 😀
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha! Mimi nataka watoe JF bure ndio itakula kwao bwana.
Mimi bila JF siku haiendi vizuri!

Kwanza nifah mi mdau wako wa sku nyingi em sambaza Airtel mane hapa :thumbup:😛
 
Tuliokuwa tunapanga foleni maeneo ya vyuo vikuu kujiunga vifurushi vya wasomi vya bei rahisi sasa mambo si mambo tena tigo wameshashusha vifurushi vyao vya tigo university offer kutoka 1GB kwa 1500 kwa wiki sasa ni 500MB tu na sekunde 9000.

Uzuri wenu hiyo offer ilikuwa kimya kimya hamuipi promo.

Mkuu...unajiungaje hii kitu na mimi nikajipange huko University nipate hizo bundle?
 
Kweli aisee siku hizi umekuwa popular kuliko hata miss chagga...big up kwako!😀

Ndugu yangu unataka kunizidishia matatizo zaidi ya niliyokuanayo!Unataka kuua mtu kwa pressure hapo...lol
Thank you anyway.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom