Yaani Profesa amuonee wivu huyo kilaza wenu aliyetaga O Level? Are serious?Ni njaa na wivu ndio vinamsumbua huyo mama
Kisimi cha mamayNi njaa na wivu ndio vinamsumbua huyo mama
GENTLEMA,ruge alimwibia nan? mbona mlishindwa kuthibitisha wizi wake mahakamani mkamwachia huru?
umejbu swal au umeanzisha mada mpya?GENTLEMA,
BIBI TIBA LAANA YA PESA YA MBOGA INAMUUMBUA, KACHANGANYIKIWA YULE KAMA WARIOBA TU
huna haja ya kuweweseka gentleman,umejbu swal au umeanzisha mada mpya?
Tibaijuka ana njaa ??Ni njaa na wivu ndio vinamsumbua huyo mama
kawaida ya mboga mboga kukwepa hoja, hata pm alipoulizwa idadi ya mliowaua, aliishia kusema guys guys guyshuna haja ya kuweweseka gentleman,
na inaonekana una stress sana gentleman, right?
Tena sanaTibaijuka ana njaa ??
Uchawa ni kazi sana.
Kama Tibaijuka ana njaa nyie wakimbizi wa Rwanda tusemeje sasa?Tena sana
Dah umeandika usengerema wa kiwango kisichohimilika! Ni kama kichwani mwako umejaza kamasi tu. Yaani wewe na wapumbavu wenzio huko Lumumba mnatamani watanzania wote wenye akili timamu wawe na akili mgando kama za kwenu, siyo? Waimbe, kusifu na kuliabudu hilo joka la kike? Kila mwenye mawazo huru yanayokinzana na uchawa wenu wa ccm tayari anakuwa mfuasi wa Chadema? Kwanini asiwe ACT Wazalendo? Kwanini asiwe CHAUMA? Au kwanini asiwe NCCR Mageuzi? Pumbavu kabisa!!Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya.
Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea dharau dhidi ya mhimili wa mahakama. Kauli zake, zinazo hamasisha vurugu, fujo na uasi kama njia ya kufikia malengo ya kisiasa, si tu zinapotosha historia ya harakati za uhuru, bali pia zinahatarisha amani na mshikamano wa taifa.
Kauli za namna hii si za kubezwa, ni mbegu za machafuko. Ni fikra hatarishi zinazoweza kuligharimu taifa kwa damu, mali na mustakabali wa vizazi vijavyo. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kusimama hadharani na kuhalalisha vurugu kisha ajione yuko sahihi.
Cha kushangaza zaidi, inaonekana Tibaijuka anaamini kuwa athari za vurugu hazitamgusa, kwa fedha zake anaweza kukimbilia nje ya nchi na kuyaacha madhara kwa wananchi wa kawaida. Huu si tu mtazamo mufilisi, bali ni dharau ya wazi kwa Watanzania na uhai wao.
Na si mara ya kwanza kwake kuonyesha dharau na kauli za hovyo. Historia yake imewahi kugubikwa na tuhuma nzito za ufisadi, ambazo alizipuuza kwa kauli nyepesi akidai fedha hizo zilikuwa “hela ya mboga.” mtu huyu anapaswa kutazamwa kwa jicho la kipekee.
Tangu alivyoshindwa katika harakati zake za kisiasa amegeuka mbogo na yuko tayari kwa lolote, ikiwemo kuhamasisha vurugu. Aina hii ya siasa za jazba na kejeli kwa taasisi kama Mahakama haina nafasi katika taifa linalojenga misingi ya utawala wa sheria na maendeleo endelevu.
unazidi kuweweseka tu na porojo nonsensekawaida ya mboga mboga kukwepa hoja, hata pm alipoulizwa idadi ya mliowaua, aliishia kusema guys guys guys

mboga mboga ulichinja wangapi bwana mboga mboga?unazidi kuweweseka tu na porojo nonsense
![]()
Kuiba kura sio kuhamasisha vurugu ila kutaka mahakama itende haki ni kuhamasisha vurugu!? Tanzania ina mijitu ya ajabu!Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya.
Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea dharau dhidi ya mhimili wa mahakama. Kauli zake, zinazo hamasisha vurugu, fujo na uasi kama njia ya kufikia malengo ya kisiasa, si tu zinapotosha historia ya harakati za uhuru, bali pia zinahatarisha amani na mshikamano wa taifa.
Kauli za namna hii si za kubezwa, ni mbegu za machafuko. Ni fikra hatarishi zinazoweza kuligharimu taifa kwa damu, mali na mustakabali wa vizazi vijavyo. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kusimama hadharani na kuhalalisha vurugu kisha ajione yuko sahihi.
Cha kushangaza zaidi, inaonekana Tibaijuka anaamini kuwa athari za vurugu hazitamgusa, kwa fedha zake anaweza kukimbilia nje ya nchi na kuyaacha madhara kwa wananchi wa kawaida. Huu si tu mtazamo mufilisi, bali ni dharau ya wazi kwa Watanzania na uhai wao.
Na si mara ya kwanza kwake kuonyesha dharau na kauli za hovyo. Historia yake imewahi kugubikwa na tuhuma nzito za ufisadi, ambazo alizipuuza kwa kauli nyepesi akidai fedha hizo zilikuwa “hela ya mboga.” mtu huyu anapaswa kutazamwa kwa jicho la kipekee.
Tangu alivyoshindwa katika harakati zake za kisiasa amegeuka mbogo na yuko tayari kwa lolote, ikiwemo kuhamasisha vurugu. Aina hii ya siasa za jazba na kejeli kwa taasisi kama Mahakama haina nafasi katika taifa linalojenga misingi ya utawala wa sheria na maendeleo endelevu.
Yupo na maisha yakeGENTLEMA,
BIBI TIBA LAANA YA PESA YA MBOGA INAMUUMBUA, KACHANGANYIKIWA YULE KAMA WARIOBA TU
yes,Yupo na maisha yake
Elewa tu,wanadam kimawazo, kufikiri hamuwezi kuwa sawa
Ova
Kiongozi gani asiyekuwa na dhuluma...yes,
ana maisha yake na yana mtesa mno nje ya game.
laana ya dhuluma inamtesamno hasa ile ya pesa ya mboga ya escrow
Yes,Kiongozi gani asiyekuwa na dhuluma...
Mwacheni atoe mawazo yake maana hayo ni mawazo yake
Tatizo mnaishi kwenye taifa la wanafki tu
Ova
Mna shida sanaYes,
yule mbibi ni mnafiki wa kiwango cha lami ndio maana anateseka akiwa kazeeka, ni kama warioba na ulimwengu tu