Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,832
ni kweli,Mna shida sana
Ova
hivi vizee vilivyojisahau wakati wa ujana wao tena wakiwa na nafasi nzuri serikalini, vina shida mno kisaikolojia aise gentleman
ni kweli,Mna shida sana
Ova
hawa wanafungua account alafu wanatengenezewa content waje wapost wanaishia zao ndio maana unaona anashindwa hata kujibu hoja moja kwa kuwa hana akili.Hizi I d joined 2024 ni za kutilia mashaka sana
Yie ndio nini? elimu bure ya CCM haijakusaidia kabisa😁Kama Tibaijuka ana njaa yie wakimbizi wa Rwanda tusemeje sasa?
Pole sanani kweli,
hivi vizee vilivyojisahau wakati wa ujana wao tena wakiwa na nafasi nzuri serikalini, vina shida mno kisaikolojia aise gentleman
Mimi sijasoma kwa elimu ya CCM wala sijasoma elimu ya bure.Yie ndio nini? elimu bure ya CCM haijakusaidia kabisa😁
Mahakama ipi hiyo ambayo ipo huru?Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya.
Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea dharau dhidi ya mhimili wa mahakama. Kauli zake, zinazo hamasisha vurugu, fujo na uasi kama njia ya kufikia malengo ya kisiasa, si tu zinapotosha historia ya harakati za uhuru, bali pia zinahatarisha amani na mshikamano wa taifa.
Kauli za namna hii si za kubezwa, ni mbegu za machafuko. Ni fikra hatarishi zinazoweza kuligharimu taifa kwa damu, mali na mustakabali wa vizazi vijavyo. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kusimama hadharani na kuhalalisha vurugu kisha ajione yuko sahihi.
Cha kushangaza zaidi, inaonekana Tibaijuka anaamini kuwa athari za vurugu hazitamgusa, kwa fedha zake anaweza kukimbilia nje ya nchi na kuyaacha madhara kwa wananchi wa kawaida. Huu si tu mtazamo mufilisi, bali ni dharau ya wazi kwa Watanzania na uhai wao.
Na si mara ya kwanza kwake kuonyesha dharau na kauli za hovyo. Historia yake imewahi kugubikwa na tuhuma nzito za ufisadi, ambazo alizipuuza kwa kauli nyepesi akidai fedha hizo zilikuwa “hela ya mboga.” mtu huyu anapaswa kutazamwa kwa jicho la kipekee.
Tangu alivyoshindwa katika harakati zake za kisiasa amegeuka mbogo na yuko tayari kwa lolote, ikiwemo kuhamasisha vurugu. Aina hii ya siasa za jazba na kejeli kwa taasisi kama Mahakama haina nafasi katika taifa linalojenga misingi ya utawala wa sheria na maendeleo endelevu.
Yes,Pole sana
Ova

Poleni sana wasindikizaji na mashabiki hukoYes,
kwakweli mbibi huyo ni wa kuonewa huruma kama akina mnyika na mropokaji heche kule dodoma leo![]()
Sethi swaiba wa ruge si kawachangia huko na mmeipokea pesa yake gentlemanyes,
ana maisha yake na yana mtesa mno nje ya game.
laana ya dhuluma inamtesamno hasa ile ya pesa ya mboga ya escrow