NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
Dhamiria kwa kile unachohitaji Kisha TUMIA chumvi kwa mtindo wowote unaoutaka wewe itafanya kazi huta AMINI utendaji wake.Mkuu mbona mimi nimefanya hiyo lakini olaaa
Dhamiria kwa kile unachohitaji Kisha TUMIA chumvi kwa mtindo wowote unaoutaka wewe itafanya kazi huta AMINI utendaji wake.Mkuu mbona mimi nimefanya hiyo lakini olaaa
Aisee...MUENDELEZO WA MREJESHO WA MATUMIZI YA CHUMVI KAMA TIBA
Tangu mwezi wa 5 mwaka huu nilihamia kwa muda Rukwa Kijiji Fulani kwa shughuli zangu za kiuchumi,Kama mnavyojua watukutu hawakosekani popoye pale
Nilipanga nyumba nzima Ili niwe huru.
Ndugu zangu wana Jf baada ya miezi 3 Vituko vikaanza Mijibwa mikubwa ajabu inaruka uzio na kuja kuchimba katikati ya uwa,Kwa muda wa wiki ikawa imechimba bonge la KABURI.
NILICHUKUA CHUMVI KILO 1 NIKACHANGANYA NA MAJIVU NIKAMWAGA ENEO LILILOCHIMBWA MBWA WALE HAWAKURUDI TENA ILA KILICHOTOKEA MTAANI SIRI YANGU.
CHUMVI NI TIBA NA KINGA YA MAMBO YA GIZA!!!!
AHSANTE MSHANA JR KWA ELIMU KUHUSU MATUMIZI YA CHUMVI
Dunia haishi maajabu!Aisee...
Duu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]MUENDELEZO WA MREJESHO WA MATUMIZI YA CHUMVI KAMA TIBA
Tangu mwezi wa 5 mwaka huu nilihamia kwa muda Rukwa Kijiji Fulani kwa shughuli zangu za kiuchumi,Kama mnavyojua watukutu hawakosekani popoye pale
Nilipanga nyumba nzima Ili niwe huru.
Ndugu zangu wana Jf baada ya miezi 3 Vituko vikaanza Mijibwa mikubwa ajabu inaruka uzio na kuja kuchimba katikati ya uwa,Kwa muda wa wiki ikawa imechimba bonge la KABURI.
NILICHUKUA CHUMVI KILO 1 NIKACHANGANYA NA MAJIVU NIKAMWAGA ENEO LILILOCHIMBWA MBWA WALE HAWAKURUDI TENA ILA KILICHOTOKEA MTAANI SIRI YANGU.
CHUMVI NI TIBA NA KINGA YA MAMBO YA GIZA!!!!
AHSANTE MSHANA JR KWA ELIMU KUHUSU MATUMIZI YA CHUMVI
Acha tuuDunia haishi maajabu!
Ndo hivyo mkuu.sintakuja sahau na ntaiendelea kusema ahsante kwako kwa elimu maridhawa uliyoitoa bila malipoDuu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ilikuaje mtaan hapo, tumalizie story mkuuNdo hivyo mkuu.sintakuja sahau na ntaiendelea kusema ahsante kwako kwa elimu maridhawa uliyoitoa bila malipo
Labda nimalizie kwa mtindo huu!ILE MI MBWA KILA MOJA LILIKUFA ENEO TOFAUTI NA JINGINE KWA STAILI YAKE NA PAKAWA KIMYA HIVI.YAAN PAKAZIZIMA!Ilikuaje mtaan hapo, tumalizie story mkuu
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk
Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake
Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi
MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.
Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038
Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039
Alamsiki.......!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app[/ USHUHUDA MFUPI WA CHUMVI YA MAWE....Kwanza Tangu nilipoona hili somo nna muda Kama Siku 6 nyuma nlikua na shahuku ya kwenda kuitafuta chumvi hii Kweny Masoko Lakn nlikua Moyo Mgumu kuamini na Uvivu ulopitiliza au hata nikipanga nkasema Leo ntaenda nunua Nasahau Mambo yanaingilia......KUTOKOKANA NA SHIDA YA ILIPONIZIDI JANA SIKU YA 6 NIKAENDA KUIFUNGIA SAFARI UKU NIKINUIA LAZMA NIIPATE KWELI NIKAIPATA MIDA YA SAA1 Usiku Nkarud Nayo nyumbani Uku nikiamini Ni Tiba Tosha ya yote nlioyasoma kutoka kwnye Uzi huu
USHUHUDA WA KWANZA
1.Chumvi hii ya Mawe Nlipofika chumbani kwang Nilinyunyuzia Kila Kona ya Chumba Nnacholala Kwakujisemea Kama kuna Mambo mabaya Yalinenewa nayatoa napataka humu ndani Na fukuza Majini Na vinyankela vyote ndan ya chumba hiki....Nkawashajiko la gesi Nkaiweka juu ya jiko pia nkaichoma uku nanuia UWEZI AMINI uwoga ulinijia gafla lkn nkajikaza nikamaliza.
2.Pia nkazungushia kitandana nnapolala chumvi hile ya mawe Uku nikisema Yale yaliyomabaya yatoke Haraka sana Na Kutokupata Usingizi kukome Nilale vyema......Kwa uwoga nkatoka na Kiganja kimoja cha chumvi nkainyunyuzi nje pia Hivyo hivyo huku nikinuhia Huku nikiamini japo Kwa uwoga nkarud ndani
USHUHUDA NIMELALAA VIZURIII KULE KUWEWESEKA KOTE KUMETOKA USINGIZI MZURII NIMELALA UKU NKIWA NAOTA NDOTO ZA KUA NIMETATUA TATZO LANGU na nililala fofoa bila kujibembeleza na fenii wala hata ckujifunika naandika ushuuda huu Ni asubuhi saa 12 mapema wkt nlikua naamka Kwa Alamu
3.Nimelala pia nimeamka mwenye nguvu na mapema bila kuamshwa na Alamu.....MUNGU NI MWEMA hapa najiandaa kuanza kuogea Nkiamini makubwa zaidi
ASANTE BRAZA @MSHANA JR NTAKUJA NA USHUUDA MWINGNE BAADA YA KUOGEa.....[emoji1548]
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Je, ukitumia zaidi ya hizo siku haifanyi kazi?
Je, ukitumia zaidi ya hizo siku haifanyi kazi?
Unaitwa dudumizi
Tofauti na kuwa kila kitu kwenye huo mti ni dawa asili; lakini mti kama mti unazuia mambo mengi ya giza.Mti wa mbaazi uko na nguvu gani mdau. Tuelimishane tafadhali
Jamani hivi nani kasema kuwa Mungu hayupo?Sijawahi kusikia mtu anasema kuwa Mungu hayupo, nilishawahi kusikia wanaodai hivyo! Mungu atosha, chumvi haitoshi kwa sababu yanaweza yakaja hata mafuriko tu halafu yakaondoka nayoHabarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk
Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake
Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi
MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.
Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038
Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039
Alamsiki.......!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app