Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Nilisoma Hapa nguvu ya chumvi, kama tarehe 19-20/10. Basi nikalifanyia kazi. Manake chumbani mwangu ukifika Mida ya saa tano na saa sita usiku zinaanza heka heka na mwili kusisimka. Nikadekia na kunyunyuzia kuzunguka chumba huku na nuuizia. Nikaogea pia. Thanks God nalala vizuri na usingizi mzito. Mawenge yote yameisha. Asanteni sana. Big up mshana Jr.
 
Mshana Jr
1.ni lazma kuosha hadi kichwa everday?.
Nna nywele ndefuu sio rahs kukausha on the daily

2.naweza oga full body mara 7 kwa siku moja nkamaliza au lazma siku 7?
 
Nilisoma Hapa nguvu ya chumvi, kama tarehe 19-20/10. Basi nikalifanyia kazi. Manake chumbani mwangu ukifika Mida ya saa tano na saa sita usiku zinaanza heka heka na mwili kusisimka. Nikadekia na kunyunyuzia kuzunguka chumba huku na nuuizia. Nikaogea pia. Thanks God nalala vizuri na usingizi mzito. Mawenge yote yameisha. Asanteni sana. Big up mshana Jr.
Asante kwa mrejesho
 
Jamani hivi nani kasema kuwa Mungu hayupo?Sijawahi kusikia mtu anasema kuwa Mungu hayupo, nilishawahi kusikia wanaodai hivyo! Mungu atosha, chumvi haitoshi kwa sababu yanaweza yakaja hata mafuriko tu halafu yakaondoka nayo
Ok haya sawa.... Ila siku ukiwa mhitaji kanuni ndio hiyo
 
Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh, hii Dunia ina mambo sana
 
Samahani mkuu je ukisha weka chumvi unaruhusiwa kutumia sabuni ,na sabuni gani nzuri
 
Unafanya hivi....
1. Maji ya moto kiasi kwenye ndoo ya Lita 20 hivi, yanayotosha kuoga
2. Unaweka chumvi kiganja kimoja kisijae kabisa, yani kama unafumbata
3. Unaweka kwenye maji, huhitaji kukoroga
4. Unaoga kama kawaida na kujisuuza
5. Maji ya mwisho chini ndio yatakuwa na chumvi jimwagie tu sasa huku ukinuizia utakayo
Sabuni yoyote inafaa na ukimaliza kuoga jifute na taulo kama kawaida, paka mafuta, lotion nk bila wasiwasi
 
Hii ya tano sijaielewa na ,nilazima uoge maji ya moto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom