Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Wakuu mrejesho kuhusu maajabu ya chumvi.
1.NALALA USINGIZI MNONO BILA MANG'AMUNG'AMI
2.WASIO JULIKANA WANA NG'OA MIMEA YANGU MBALIMBALI WAKIJUA NDO KIZUIZI CHA WAO KUINGIA NAKUFANYA UBAYA WAO
3.KIPATO KINAKAA MKONONI
4.MAELEWANO NA BAADHI YA MAJIRANI YANARUDI
NITAENDELEA KULETA MREJESHO WAKUU
 
Mkuu mbona mimi nimefanya hiyo lakini olaaa
 
Wakuu mrejesho kuhusu maajabu ya chumvi.
1.NALALA USINGIZI MNONO BILA MANG'AMUNG'AMI
2.WASIO JULIKANA WANA NG'OA MIMEA YANGU MBALIMBALI WAKIJUA NDO KIZUIZI CHA WAO KUINGIA NAKUFANYA UBAYA WAO
3.KIPATO KINAKAA MKONONI
4.MAELEWANO NA BAADHI YA MAJIRANI YANARUDI
NITAENDELEA KULETA MREJESHO WAKUU
Asante sana kwa mrejesho
 
Mkuu hii "kunuia" Ni namna gani?
au Ni ile kusema maneno yanayotoka moyoni kabisa ukiwa Na dhamira ya kweli?
Naomba nisaidie mkuu Na ahsante kwa elimu nzuri
Umepatia! Hiyo ndio tafsiri sahihi ya kunuia
 
Ndugu Mshana, nimekuwa nikifuatilia makala zako nzuri sana... Naomba mada Kama hi usiweke kingereza ili ionekane wenzetu pia wanafanya kwa hiyo ni bora. Kama waafrika na sisi tuna sayansi na imani zinazofanya kazi na hazihitaji kuzilinganisha na za wazungu
 
Aaamen asante sana nimekupata vema
 
MREJESHO NAMBA 2 WA MAAJABU YA CHUMVI!
SIKU YA TAREHE 24 MWEZI 09 -2017 NILIAMUA KUFANYA TENA KINGA YA CHUMVI KATKA ENEO LINALOZUNGUKA NYUMBA YANGU. ILIPOFIKA TAREHE 25-09 ASUBUHI NIKAFUATWA NA MAJIRANI WA 2 WATU WAZIMA, WAKANIULIZA KWA UKALI " KWANINI UMEWEKA KIZUIZI ENEO LA KUCHEZEA"? KWAKWELI SIKUWAELEWA KABISAA! NA SIKUWAJIBU WAKAONDOKA ZAO.!

TAREHE 26-09 AKAJA BI MKUBWA MMOJA NAE AKAULIZA KWA JAZBA " KWANINI UMEZIBA ENEO LA KUCHEZEA WATOTO USIKU? NILIBAKI NA BUTWAA! SIKUMJIBU NAE ALIPOCHOKA KUSIMAMA AKAONDOKA ZAKE!

HAYO KWANGU NI MAAJABU MENGINE YA CHUMVI NIMEPENDA KUSHARE NANYI WANA JF WENZANGU

Mmh NZURI PESA ni Dar ama mkoani? Pls if you don't mind
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom