Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Toa matumaini yako ktk vitu. Yesu kristo ndie tumaini letu tu, nje ya apo ni ushilikina. Sio ulonzi /uchawi ni nini?
 
"Like a Preacher in ........,When sun's goes down is a witch" by Lucky Dube in the song "NO TRUTH IN THIS WORLD"
 
Mkuu Mshana Jr mm huwa natumia chumvi kwa maelezo ya muuzaji anasema ni ya mawe ila wameisagasaga kurahisisha matumizi,yaan ni ya baharini nadhani ndio uliyoikusudia?
 
Sawa sawa na ni nyeupe zaidi kuliko ya kawaida
 
sawa Mzee baba umerudisha kijiwe Bora cha kujifunza

mfano upo kwenye dozi yakuogea chumvi afu ukalala Na mwanamke vipi haithiri ufanyaji kazi yake
 
Hakuna shida kwakuwa havina mahusiano

Jr[emoji769]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom