Thumbs-Up kwa Designer nguo za Rais Samia Suluhu Hassan

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
9,487
19,285
Mama anapendeza, huyo anayemtafutia nguo, anayemchagulia za kuvaa, anatakiwa apewe tuzo. Jana tu Kenya kaonekana amebadilisha nguo karibia mara tano siku moja, nafikiri ni kwasababu ya COVID 19, kila alipokuwa anaenda alikuwa anaenda na nguo mpya.

Ila aliyovaa wakati anafika Kenya ilimpendeza sana. Safi sana Rais wetu






 
Akiachana na ule ushungi atapendeza zaidi.
 
Mama siku hizi anavaa vizuri anapendeza mno. Magu alikuwa anamzeesha mama wa watu
 
Mnashangilia mavazi vipi kuhusu maslahi ya watanzania kawawakilisha vipi huko, je anaweza kukabiliana na ujanja wa Kenyata ?
Hakuna ujanja hapo. Kila kitu kiko wazi. Wakenya tanzania wana makampuni 500 wakati watanzania wana makampuni 30 kenya. Watz mmekalia wizi, ufisadi na siasa za chuki. Hii inamanisha bila upenyo wa rushwa na ufisadi watanzania hawawezi biashara. Ndio maana matajiri wote tanzania ni wanasiasa moja kwa moja tena siasa za kifisadi CCM. Pasipo na rushwa na ufisadi mtz humkuti hafutukuti
 
Mama Samia ndio tafsiri halisi ya "MWANAMKE NI USAFI", akiwa ziara anabadili hata nguo 4 kwa siku moja.

Sio hayo magube gube mlioyazoea ya Instagram & Bongo Movie, linavaa nguo moja week nzima, kutwa lipo mbio mbio chini ya jua na kutukanana, mpaka likiivua na kuisimamisha, nguo inasimama yenyewe dede bila support.
 
Ila kwa ufisadi Kenya ipo juu ya Tz
 
Naona unatumia tumbo kufikiria kuliko kichwa.
 
Mbona kama zimekaa kihindihindi, mshoneani magauni ya vitenge ajimwage nayo bana.
 
Naona umeamua kujifagilia!! Bac sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…