sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Ila inategemea mliachananaje ndio Ishu hapa..
Hiyo ni kweli...lakini pia mtu anatakiwa kuthamini na kukiheshimu hicho alichokuwa nacho sasa...na atambue kuwa ex abaki kuwa ex
Ila inategemea mliachananaje ndio Ishu hapa..
Kabla hujafanya chochote muulize jamaa yake ni kabila gani, kama ni mchaga sahau kabisa habari ya kupasha kiporo na huyo ex wako
Hahahahahaha
KWA HIYO IMECHANGIWA NA KUMKUNA SANA?KWANINI ALIKUACHA?
Haya maisha kila mtu anaishi anavyojua yeye...mwingine kupasha kiporo ni kawaida na mwingine si jambo la kawaida....akiachana na mtu anaachazana nae mazima....kwahiyo hii kitu inategemea mtu na mtu...
Ni kweli, ulichoongea sister ila ulivyosema kiporo umenifanya nihame ghafla kwenye mada nianze kuwaza utamu wa kula kiporo cha ubwabwa maharage asubuhi na chai. Viporo vitamu sana!
sababu vina shibisha sana ndio maaana vinaleta ka usingizi flani, kama asubuhi uliamka na kiporo mishale ya saa nne tena ukakazia ofisini na mihogo flani ya mama Godi pale chini nje floor ya kwanza, lazima usinzie sana ofisini!Ni vitamu ila ujiandae kusinzia...binafsi nikila kiporo ni full kulala siku hiyo...
duuh sawa mkuu!Viatu vyako vya zamani ndivyo vinavyokutosha vizuri.
Soma kwanza mazingira ya huyu mleta mada. Hii mambo ya ex mlioachana kwa sababu ya umbali ipo sana. Shida kubwa ni kuwa hawa hawakugombana, ni ile mambo huyu anaenda huku yule anakuwa kule ghafla mnapoteza mawasiliano. Usiombe muonane, inahitaji uwe na dhamira na nguvu ya ziada kushinda vishawishi. Hata huyu jamaa japokuwa anasema hana mpango lakini akiendelea kuchat naye, lazima atakula mzigo, mark my words!mie ex ni ex........if I move forward I move forward completely......
No turning back eti tukumbushiane,,,tunakumbushiana vinini hasa...........
Soma kwanza mazingira ya huyu mleta mada. Hii mambo ya ex mlioachana kwa sababu ya umbali ipo sana. Shida kubwa ni kuwa hawa hawakugombana, ni ile mambo huyu anaenda huku yule anakuwa kule ghafla mnapoteza mawasiliano. Usiombe muonane, inahitaji uwe na dhamira na nguvu ya ziada kushinda vishawishi. Hata huyu jamaa japokuwa anasema hana mpango lakini akiendelea kuchat naye, lazima atakula mzigo, mark my words!
sababu vina shibisha sana ndio maaana vinaleta ka usingizi flani, kama asubuhi uliamka na kiporo mishale ya saa nne tena ukakazia ofisini na mihogo flani ya mama Godi pale chini nje floor ya kwanza, lazima usinzie sana ofisini!
Soma kwanza mazingira ya huyu mleta mada. Hii mambo ya ex mlioachana kwa sababu ya umbali ipo sana. Shida kubwa ni kuwa hawa hawakugombana, ni ile mambo huyu anaenda huku yule anakuwa kule ghafla mnapoteza mawasiliano. Usiombe muonane, inahitaji uwe na dhamira na nguvu ya ziada kushinda vishawishi. Hata huyu jamaa japokuwa anasema hana mpango lakini akiendelea kuchat naye, lazima atakula mzigo, mark my words!
Heshima yako BABU DC......
nina hakika.......sijawahi kumpa chance ex wangu...
labda wewe enzi za ujana wako ilikuwaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ila kama umeamua ku move on huyu ex inabidi umpotezee mazima haijalishi mmeachanaje....au lah uachane na huyu wa sasa ili urudiane na huyo ex lakini siyo kukumbushiana ya zamani....yani hapa amua moja..
Soma kwanza mazingira ya huyu mleta mada. Hii mambo ya ex mlioachana kwa sababu ya umbali ipo sana. Shida kubwa ni kuwa hawa hawakugombana, ni ile mambo huyu anaenda huku yule anakuwa kule ghafla mnapoteza mawasiliano. Usiombe muonane, inahitaji uwe na dhamira na nguvu ya ziada kushinda vishawishi. Hata huyu jamaa japokuwa anasema hana mpango lakini akiendelea kuchat naye, lazima atakula mzigo, mark my words!
Mim ndio bwana wake wa pale Mliman city na nmeshajua mpango wenu. Ngoja sasa uone majibu..
Hahaaa hapo lazima uende kulala kwenye stoo ya ofisi...