There is no such thing as an EX.....!!!!

There is no such thing as an EX.....!!!!

Ila kama umeamua ku move on huyu ex inabidi umpotezee mazima haijalishi mmeachanaje....au lah uachane na huyu wa sasa ili urudiane na huyo ex lakini siyo kukumbushiana ya zamani....yani hapa amua moja..
Hivi unadhani watu huwa hatujui ni kitu gani sahihi cha kufanya?!!! Kila mtu anajua lakini ndiyo hivyo tena
 
Hivi unadhani watu huwa hatujui ni kitu gani sahihi cha kufanya?!!! Kila mtu anajua lakini ndiyo hivyo tena

Mwee haya bwana....ila inabidi usimamie hitaji lako haya mengine uyavumilie na uyaache yapite....
 
Kibarua bado kipo ila hakinisumbui mana vigezo na masharti kuzingatiwa...


Hapa sasa naweza kukuelewa.....

Nadhani utakapofikia level ya kuwa senior staff tutaweza kuongea vizuri...

Babu DC!!
 
Hajatendwa huyu as long as nina mtu anayenipenda kwa thati sasa ex atabaki kuwa ex... Wann saizi kwani hakuniona wakati ananiacha khaaa chunga wasije wakakuufoo saro
 
dah, wengine hatuwezi kupasha moto viporo. tukitoka tumetoka hakuna kugeuka nyuma.
 
umeona kaka? ni shida, mi mwenyewe nanyuti kwanza niisome siri ya mchezo

Hata umchukue refari wa kimataifa Howard Webb siri ya mchezo ni ile ile haiwezibadilika kazi ni wewe kumuomba Mungu akupe mtu sahihi na kwa wakati sahihi na mahali sahihi
 
ishu si tu ex kama ex bali ni yule aliyewahi kuitikisa nafsi na moyo wako, hata kama ulikua na ex 100, huyu ambaye anazungumziwa hapa anaweza kua 1 au 2
 
Kabla hujafanya chochote muulize jamaa yake ni kabila gani, kama ni mchaga sahau kabisa habari ya kupasha kiporo na huyo ex wako

Yaani ni kama hivi nisikie baby DEMBA kuna mtu anakusalandia kisa alikuwaga ex wako...ajue kabisa risasi itamhusu....huu ujumbe uwafikie watongozaji chipukizi kama Mokoyo and co......wasije sema sijawaaambia

CC Asprin
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom