donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
- Thread starter
- #121
mkuu katika wote we umenielewa sana concept yangu!ishu si tu ex kama ex bali ni yule aliyewahi kuitikisa nafsi na moyo wako, hata kama ulikua na ex 100, huyu ambaye anazungumziwa hapa anaweza kua 1 au 2