Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
How old are you?
Word...
How old are you?
my brother siwezi kukususa......nisamehe bure kwa ukimya wangu
wala si mingi sana mkuu, kwanini wauliza?
and the realities being what mkuu?Kwa sababu nyani mzee keshakwepa mishale kibao...
Kwa hiyo kama hujakutana na mshale hata mmoja, ukiona upinde utadhani ni toy....
But with time, you will come to term with realities.....
Babu DC!!
ni kweli, nilitaka tu kuonesha jinsi mambo yalivyo, it doesnt mean kwamba i'ma go on with her play mkuu!
nimekusoma mkuu!Tusameheane tu my dada maana nalalamika as if ukishanisalimia salio benki linatuna!!!!!
Kumbe halituni mpaka tukanyanyasike huko maofisini!!!!!
donlucchese; huyo babu anayekuuliza maswali mengi mkomalie tu utatoka na kitu hapo!!!!!
niko mbali sana mkuu na hivi saivi kila mtu ana mguu wa kuku? hua nina falsafa yangu kwamba: USIONE KOBE JUU YA MTI JUA KAWEKWA!Bado mna chat au baada bint kutangaza nia umejiweka mbali nae? Kama kweli huna mpango wa kukumbushia jiweke mbali nae mapemaa kabla hatujasikia tukio lingine la watu kumiminiwa risasi
and the realities being what mkuu?
Bado mna chat au baada bint kutangaza nia umejiweka mbali nae? Kama kweli huna mpango wa kukumbushia jiweke mbali nae mapemaa kabla hatujasikia tukio lingine la watu kumiminiwa risasi
Ndo unajua Leo Mkuu wanasema.. never burn a bridge
Kabla hujafanya chochote muulize jamaa yake ni kabila gani, kama ni mchaga sahau kabisa habari ya kupasha kiporo na huyo ex wako
Acha kumtisha mwenzio....
He is not the first and he will never be....
It's the matter of making you arithmetics right....
Babu DC!!
Wala simtishi Babu DC!
Hata hao yaliyowakuta waliamini kila kitu kiko under control,tatizo wenye mali zao siku hizi wakikudaka hawakupi adhabu itakayokupa 2nd chance wanakutanguliza tu nao wanafata kesi ikaamuliwe ulimwengu mwingine kama upo!
Uwiii hapa pananukia damuu mkuu..
mkuu ni kweli, wala siyo intention yangu to go on with that wicked desire of hers, ila nilitaka tu watu waweze kuona jinsi haya mambo yalivo mkuu kabanga
Kwa maelezo yako, unamaanisha kuwa watu hawafanyi hayo mambo kwa kuogopa kuuliwa na wenye wake/waume??
May be, I am being naive!!
Babu DC!!
case closed!Kwamba life is not that simple......
And you got more to see before you discover yourself.....
Bado una swali??
Babu DC!!
hahahaha!Acha kutuzuga bwana na hivyo ulivyomsifia eti ooh kaiva kawa mweupe..sio mbaya nunua bullet proof vest na helmet..haahaaa just a joke bro.