donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
- Thread starter
- #61
nawe pia mkuu ila you are missing a point!Jumapili njema ex wa huyo mdada, ila jiulize mpo wangapi?!!!
nawe pia mkuu ila you are missing a point!Jumapili njema ex wa huyo mdada, ila jiulize mpo wangapi?!!!
hahah sio unafki kaka, sasa mtu amekuomba namba yako mbele ya mpenzi wake na amekutambulisha kama rafiki wazamani do you think its logical kukataa mbele ya huyo jamaa? dont u think jmaa anaweza kusmell something fishy? n by the way kuwa ma EX si vita au ugomvi, mbona kuna watu wameachana ila ni marafiki wazuri tu tena wanapiga story fresh?Kujiendekeza tu, unachange simu number ili iweje? Afu wabongo kwa unafiki duh, sasa si mrudiane kbs
hahah sio unafki kaka, sasa mtu amekuomba namba yako mbele ya mpenzi wake na amekutambulisha kama rafiki wazamani do you think its logical kukataa mbele ya huyo jamaa? dont u think jmaa anaweza kusmell something fishy? n by the way kuwa ma EX si vita au ugomvi, mbona kuna watu wameachana ila ni marafiki wazuri tu tena wanapiga story fresh?
duuuh, wanzungu noma!Juzi nikiwa na rfk angu Ben akiongozana na gf wake nikashangaa kuona dem anamwambia jamaa
"Would you mind if I taste african banana from ya frend Jerry?"
Strait n clear, make sure jamaa yake anajua comm yenu acha kucomm na mpenz wa mwwnzako
Una uhakika na unayoyasema??
Can you back it with evidence?
Babu DC!!
nafikiri we are not sailing on the same boat, sijamaanisha mimi personally am talking about other people especially women. mimi mindset yangu naijua mwenyewe and i dont go around fire expect not to sweat. that was just a figure of speech mkuu, haimaniishi mimi niko kiivo!
because these things are non-fictional, they are there. it might not be me or u, but someone else. Thats how things are mkuu!okay then why speaking abt others while u by urself cant do such a thing......
sana mkuu, yaani labda umcreate wakwako peke yako labda. Halafu kuna ile wanasemaga wadada wengi watu ambao hua wana toa virginity zao ndio wanawapenda daima, hata unakuja kumuoa lakini akitokea yule mkuu aliyevunja kikombe, probability ya kuliwa kibubutu mkeo ni kubwa sana!
Ex wako akipita hapa sijui kama ataendelea na msimamo wa kukugea tundi...
You are absolutely right !!! Hilo nime lizibitisha mimi mwenyewe. Hata uje kusikia kaolewa na jamaa mwingine huko.....kamwe hawezi kukusahau na probability za wewe kuendelea kula mzigo yule mwanamke akiwa still kwenye ndoa yake ni kubwa mno. Ila kwa mtu kama mimi mwenye heshima zangu kamwe siwez tembea na mke wa mtu hata kama ni yeye analazimisha game cz i know how painful it feels to be betrayed by someone u truly love.
Visima vyw kale, havifukiwi mjomba...... Hayo mambo hutokea mara nyingi kwa watu ambao au hawakuacha ila walipotezana tu...mfano mtu alihama akahamia mbali na mawasiliano yakapote, hao wakikutana ni rahisi kukumbushiana, pia wale ambao waliachana kiroho safi na wakakubaliana kuachana bila ugomvi...hawa nao ni rahisi kukumbushiana, au mwanamke ulikuwa naye then huko alikoenda kakutana na tiba chini ya kiwango kuliko ile uliyokuwa unampa wewe hapo kukiwa na uwezekeno wa kukutana atatamani kukumbushia.....kama mwanamke umemfanyia wema wakati mliachana basi hujisuta na hutamani kulipa huo wema kwa kutoa nywila yake..... Ila kama waliachana kw ugomvi mkubwa huwa inakuwa ni mara chache kukumbshiana
Salaam wana MMU,
kuna kale kamsemo kwamba mpenzi wako wa sasa ni mpenzi wa zamani wa mtu mwingine, kana kaukweli fulani. An ex is like a dormant volcano kwamba haierupt lakini ipo one day inaweza kuja kuerupt tena. Point of reference;ni majuzi tu nimekutana na ex-mpenzi wangu ambaye tulidate like 2 years ago ila baada ya kuhama physical location ukawa ndio mwisho wetu. Hiyo majuzi katika pita pita zangu za kwenda kushangaa ulaya a.k.a mlimani city (ndugu zangu wa chit-chat wananipata swadakta) nikakutana na mpenzi wangu huyo wa zamani. Kiukweli kwa sasa ameng'ara sana na kunawairi na kupendeza mpaka mwenyewe nikakiri kimoyomoyo. Alikua na jamaa mmoja ambae judging from the looks, their positions and posture it doesnt need an elite person kujua huyo jamaa ndio mmiliki halali wa binti huyu na jamaa ndio aanahudumia kila kitu. Nilitaka kukausha nimpite kamasimjui ila binti akanikumbuka akaniita, alifurahi sana akanihug pale, akanitambulisha kama rafiki yake wa zamani kwa huyo mpenzi wake. Basi tukapiga story dakika mbili tatu nikamzuga nina haraka so she gave me her dials. Tumeanza kuchat, akaanza kukumbushia mambo ya zamani, mara anipigie late night calls, vi clip vya kijinga whatsapp n all those stuffs. Nilimbana kwenye angle flan katika kuchat kwetu mwisho akakiri she still got some sort of feelings for me and she wont mind vile tukihave a friendly match kujikumbushia back in days.
Hii kitu nimewaza nikaona kumbe sometimes tunaweza kua na wapenzi wetu wenyewe tunaona tumefika tunapeeendwa kumbe kuna watu ambao walikonga nyoyo zamani ambao always watakua wana special place kwenye nyoyo zao. Sasa kama mambo yenyewe ndio haya, si mtu unaweza ukaoa/kuolewa na mtu halafu kumbe kuna ex wake ambae alikua anamkuna kweli kweli ambaye akichombeza kidogo tu anapewa mzigo kama kawaida? Au ndio mambo anayosema Rich mavoko kwamba kuchapiwa ni siri ya ndani? (personally i hate this line in the song).
Anyways, wafaransa wenyewe wanasema :C'est la vie....
Jumapili njema wapendwa!
Haya maisha kila mtu anaishi anavyojua yeye...mwingine kupasha kiporo ni kawaida na mwingine si jambo la kawaida....akiachana na mtu anaachazana nae mazima....kwahiyo hii kitu inategemea mtu na mtu...
mie ex ni ex........if I move forward I move forward completely......
No turning back eti tukumbushiane,,,tunakumbushiana vinini hasa...........
HahahahahahaSalaam wana MMU,