The World is a flat plane and not a globe

Majibu yako yapo mengi sana kwenye thread pitia taratibu utayaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndicho nilichopingana nacho tangu mwanzoni. Udhaifu wa hoja zenu bado ni mkubwa sana.

Unatumia maneno ya Nikola Tesla kwamba dunia si "planet" na kwamba "it has no edge". Siku hizi Flat Earthers wenzako wapo katika "Pac-Man effect" wakiamini kuwa vitu vyaweza kupita katika hizo edges na kutokezea upande mwingine wa dunia.

Yaani ukikaribia upande mmoja pembezoni mwa dunia, una uwezo wa kupita na ghafla kutokezea upande mwingine tofauti pembezoni. Does that make sense?

Mnasema hoja za Flat Earthers zina "uhalisia", inaonekana hata nyinyi wenyewe Flat Earthers hamkifahamu vizuri mnachokipigania. Mnapingana wenyewe kwa wenyewe humu jukwaani na kote duniani.

Yaani mnatuletea nadharia kama hizo za "Pac-Man" alafu mnataka tukubaliane na hoja zenu? Are you serious?

Hoja zenu ni dhaifu!
 
mkuu tupe link ya kitabu icho
 
Utavyoona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu tupe somo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana for real haina sense ila upande wa pili wa imani umeelezea yote tafiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hua Nawaambia jamaa zangu ,maisha ni kamchezo fulani ka ovyo Sana...... Unaamka unajishughulisha huko unarudi unalala daily ila kuna siku utalala na usiamke tena
 
Halafu Mkuu huyu Mtoa Mada nilisha wahi kumuuliza kuhusu mwenendo wa nyota ya Orion inayo onekana kuanzia mwezi wa 11 mpaka mwezi wa 4 mwaka unaofuatia kisha inapotea.hajawahi kunijibu kama hizo nyota ndo zinazunguka au ni Dunia yenyewe inazunguka!
 
Zitume. Tofauti tu ni kwamba mimi nafanya mwenyewe experiment na kuthibitisha. Lakini naomba nione hizo video unazodai zipo nipate kujifunza pia

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Halafu Mkuu huyu Mtoa Mada nilisha wahi kumuuliza kuhusu mwenendo wa nyota ya Orion inayo onekana kuanzia mwezi wa 11 mpaka mwezi wa 4 mwaka unaofuatia kisha inapotea.hajawahi kunijibu kama hizo nyota ndo zinazunguka au ni Dunia yenyewe inazunguka!
Every star and celestial bodies revolve on top of an earth as the center of the universe ,mfano mzuri ni north pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nitaftie ile vidio ya mabaharia au nipe link yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…