MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,208
- 2,591
Gazet kuuubwa halaf tofaut ya colourless na invisible .Tatizo la wengi humu wanaobeza na kukejeli usomaji wao walipita kwa kukariri. Aliyesoma kwa kuelewa hawezi kubeza hoja unazoleta.
Somo la Chemistry mwalimu alisema water ni colourless. Jamaa mmoja akanyosha mkono akauliza swali akamwambia mwalimu maji yatakuaje ni colourless hali ya kuwa unayaona? Akatoa na mfano akamwambia mwalimu mfano wa gesi ya Oxygen moja ya sifa yake ni colourless, na ni kweli hatuioni. Tunaitambua kwa sifa zake na moja ya sifa yake ina support combustion!
Hata maabara tunaitambua kwa kuweka wooden glowing splint. Hii yote ni kwa sababu Oxygen ni colourless! Hatuioni. Akamwambia mwalimu inakuwaje maji yawe colourless wakati nayaona? Akameambia mwalimu kwake maji si kwamba hayana rangi bali rangi yake haijulikani.
Sasa wanaosoma kwa kumeza akili za kuhoji hawana. Badala yake anayehoji wanamuona kituko! Wanamuona hana akili! Wanambeza! Wanachosahau ni kwamba hata hizo notes za walizokariri zimetokea kwa kuhoji, wakajibidisha na utafiti mwisho wa siku mabadiliko ya taaluma yanazaliwa upya na kufanywa mitaala ya elimu.
Na siku zote anayesoma kwa kuelewa uzito wa hoja uliyoileta anaielewa na ana iona fikirishi. Kama huyo Engineer W. Winckler anachokisema ndicho ambacho anachokihoji Engineer brother Zurri
Enhe emb tueleze mliafikiana maj yana rang gan??
Sent using Jamii Forums mobile app

