Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,791
Sababu ni baridi Kali sana na barafu, pia kuna giza kwasababu Mwanga na joto la jua halfiki kule kama ilivyo kwa maeneo mengine dunian hususan equatorial areas yaani maeneo ya katikakati ya dunia.Hii mimi huwa najiuliza sana na kutafuta kwenye mitandao lakini sababu zao sikuziona ni zenye mantiki. Kwa sababu ipi wanazuia watu kwenda Antarctica?
Ila pia bado haimaanishi dunia ni Spherical in shape.
Sent using Jamii Forums mobile app
