Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,765
Hoja yako ni dhaifu na ina practical answer. Fanya uchunguzi mdogo tu utajishangaa unachoshikilia kumbe hakipo.Ndugu,
Msikurupuke bali leteni hoja zenye nguvu za kuthibitisha hicho mnachokiamini.
Hoja ya 'Perspective' mnayoitumia haijitoshelezi na pia haiendani na hicho mnachotaka kutuaminisha.
Kwa kifupi hoja hiyo ni irrelevant!
Next time, ni vyema mkatuletea hoja zenye mashiko, supported na evidentiary facts na si kauli tu za watu.
Mkifanya hivyo huenda mkatushawishi hapo baadaye kuamini hicho mnachokiamini.
Hizi hoja zenu za sasa bado ni dhaifu mno.
Ahsante!
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
