The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Watu wanakwambia meli ikiwa inazidi kwenda mbele baharin huwa inazama, hivyo kudhihirisha kuwa dunia ni duara.

Hahahahaha hawajui kuwa hapo ni ukomo wa macho yao au kitu wanachotumia kutazama, ukiwa na kifaa kinachotazama mbali zaidi wala huoni kama meli inazama bali utaiona ipo ktk usawa ule ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema ikitokea meli baharini kwa mbaali unaanza kuona juu yani upande wa juu wa meli.

Sasa kama ni macho kwa nini tusianze kuona upande wa chini wa meli mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya dunia??bara lengine??

Nifafanulie hapa mkuu.

Na kuna athari gani watu wakijua ni tambarale?why wafiche ukweli?
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh,means hakuna satellites??
Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio duara nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imani yake iko kwenye Quran tu wala usingepoteza muda wako.
Hajamshika mtu yeyote ni vile tu siwezi bishana na mtu mjinga

Da vinci kuwa muwazi you know Zurri well

I will waste my energy here

Two weeks ago nlkueleza jinsi nlvyotumia AI kudevelop method flan ya kutibu mtu aliye paralyze mkono
And i was so busy nkakueleza nashindwa hata kukujibu now

Then mtu anakuja kukwambia quantum physics ni ushubwada tu aaah aisee nmemind sana kijana hizi ni dharau wazi wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba nahitaji kuthibitisha kwamba mimi ni nyani? Kuna aliyekwambia mimi ni nyani, mbona unachanganya mafile.

- Bing bang is just a theory kama na wewe unatheory yako ambayo ni bora zaidi unaweza ukaitoa.

- Genetics inathibitisha evolotion, wewe unathibitishaje kwamba hakuna evolutin?


Sent using Jamii Forums mobile app
Mani chromosome Y goes on to dissappear

I have seen it with my own eyes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa unamaanisha kenye hizo sayari Luna viumbe vinavyoishi??
- Hamna kitu Gravity, I don't know ndio mnaita Gravitational Force. Just an Illusion


- Probably inaweza ika-sound lakini nachofahamu ni Foundation (Msingi) Uliopo.

- On other side kuna Mataifa kama ilivyo Dunia ndio same utakutana Nibiru, Vesta, Pulsar, Sedna, Ogle Tr, Mars etc. Baadhi ya hayo hayajawa na wakazi.

- Kusema "Mathematics Calculations" tayari inaonesha ni masuala yepi yaliokuathiri hadi kushindwa kutanabaisha haya.

Sergio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka sana, hata wajinga wanapeana tuzo, hili halishangazi.

Ajabu ya watu kama nyinyi, yaani kwa ujinga huu mnapeana tuzo.

Kusema tu uelewa wako ni zaidi ya uelewa wangu, ni ishara ya kuwa wewe ni mjinga.

Wanao jua wanajua, haiwezekani tangu jana huweki hoja zaidi ya kutaj taja majina, na hii ni kazi rahisi sana.

Hujawahi kusikia tuzo za wanamuziki, wacheza mipira na wacheza filamu za ngono ? Sasa ujinga hauishi na huo wakwenu ni muendelezotu.
Okay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu REALITY kwenye GIF uliyoweka hapa kuonyesha namna usiku na mchana unavyotokea kwenye flat earth concept,maumbo tofauti ya MWEZI hutokeaje kwa nadharia zako?
Maana kwa nadharia za spherical ni pale dunia inapozunguka jua na mwezi kuzungua dunia na jua kwa wakati huo huo.
 
Mkuu upo deep sana
Hakuna kitu kama gravity hiyo ni imagination concept kuna density if you are less denser you float higher denser you fall

Kuhusu magma mere mortals kama humanbeings ni ngumu sana kuelewa hili swala ila ipo between crust and anticrust beneath earth yani ni HELL

ISSUE sio calculations we kuvuka southpole nakujionea mwenyewe unataka hesabu gani fatilia operation high jump ya 1946



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom