The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Ok
Usipoelewa.....
Mbona kitu kidogo sana...satellite zinakua launched live kabisa kila mtu anaona
Ukiweza kunielezea kupatwa kwa mwezi nitakuwa muumini wako mzuri
IMG_20200127_162422_141.JPG
IMG_20200127_162441_898.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ambacho hujaelewa ni kipi ndo maana nikaweka hii gif ili uweze kuona kuwa kuna kipindi baada ya miaka kadhaa wakati jua na mwezi vinacirculate inatokea vina intersect thats what happening na flat earth ni geocentricmodel not heliocentric ya globalists ambao wanacheza na akili zenu wakati mna akili za kudadavua.
Hii haijaelezea jinsi lunar eclipse inatokea...huwezi kutype?
thesunandmoonabovetheearth%20(1).gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah

Diameter ya jua ilipimwaje mkuu?


Ni mambo ya kufikirika tu.


Kama ambavyo unaona dunia ni kubwa saaaaana kiasi kwamba mtu hawezi kuhisi kama ina move kutokana na udogo wake huyo mtu ns dunia ni kubwa,basi ndo hvyo hvyo dunia flat ni kuubwa sana kiasi kwamba lile jua mwanga wake haufiki pande zote za dunia kwa sababu dunia ni kubwa sana.

Kumbuka hapo juu kuna mavitu vitu mengi hapo ya hewa na mamoshi n.k hivyo vinaweza kufanya mwanga usifike mbali duniani kote

Duh! Mkuu mbona unaandika vitu vya kubuni yaani jua unasema ni dogo kama tochi?
Kipenyo (diameter) cha Jua ni 1,391,000 km na kipenyo cha dunia ni 12,742 km hivyo kipenyo cha Jua ni mara 109 zaidi ya kipenyo cha dunia vipi Jua liwe dogo kuliko dunia?

Kwa ukubwa huo wa jua ina maana Kama dunia ingekuwa sio duara (flat) Kama mnavyodai basi watu wote duniani tungeliona Jua kwa mara moja kusingekuwa na kupishana muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello 'Flat Earthers'.

Mmefikia wapi? Yaani mmeamuaje?. Au msimamo ni ule ule?
 
Hapo ambacho hujaelewa ni kipi ndo maana nikaweka hii gif ili uweze kuona kuwa kuna kipindi baada ya miaka kadhaa wakati jua na mwezi vinacirculate inatokea vina intersect thats what happening na flat earth ni geocentricmodel not heliocentric ya globalists ambao wanacheza na akili zenu wakati mna akili za kudadavua.View attachment 1337169

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mbona maelezo yako yamejikita kuelezea solar eclipse mimi naulizia lunar eclipse....
Kwasababu kama jua na mwezi zinazunguka dunia inakuwaje mwezi unapatwa ???nini kinasababisha??
 
Angalia hio gif vizuri kuna muda jua linakuwa mbele na kuna mda mwezi unakuwa mbele kwenye circulation angalia vizuri na narudi mda si mrefu
Duh! Mbona maelezo yako yamejikita kuelezea solar eclipse mimi naulizia lunar eclipse....
Kwasababu kama jua na mwezi zinazunguka dunia inakuwaje mwezi unapatwa ???nini kinasababisha??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Swastika in the Sky; The Big Dipper

Once we reconnect to our common ancient ancestry we can easily find Flat Earth teachings and knowledge. There is no better example than the Swastika and the Big Dipper.

The Swastika was a marker for the 4 Seasons of the Year as the ancients knew intimately. The luminaries were their guides and teachers as well as provided much consciousness form mankind before humans developed free will. Part of the Great 500 Year Lie is that the swastika became the ultimate symbol of evil to the Western World. The psyops turned around both literally, and physically, to take away Spiritual energy and disempower the masses, that be us.

swastikanorth-star.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu an earth is unmovable it is fixed ,dah hawa jamaa wameharibu kizazi totally.

Embu niambie asili yako?yani asili ya binadamu kwa upande wako

Sent using Jamii Forums mobile app


Kila scientists theory yake ina data kuntu kutokana na uchunguzi aliofanya we are only theorists, wengine wanasema were fishes before, wengine we aren't even real at all, we can't judge from what they brought because they know how they conducted experiments zao
 
Kila scientists theory yake ina data kuntu kutokana na uchunguzi aliofanya we are only theorists, wengine wanasema were fishes before, wengine we aren't even real at all, we can't judge from what they brought because they know how they conducted experiments zao
Soma uzi juu upya nimeongezea kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzenu wanaongela kuvunja ceiling glass ili waweze kutoka nje ya dunia. Ndo dream yao...the Ceiling glass inawaboa. Unadhani mabomu ya nuclear ni ya nini?? Kuua watu?? No! Ceiling glass inayofunia dunia aka FIRMAMENT. They know jinsi dunia ilivyo and they tell you on ur face but still hamtaki kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia hio gif vizuri kuna muda jua linakuwa mbele na kuna mda mwezi unakuwa mbele kwenye circulation angalia vizuri na narudi mda si mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui mimi ndo nina akili kisoda au wewe...mbn hatuelewan kabisa mkuu
Kwani mwezi ukikaa mbele ya jua si inakuwa solar eclipse???
Mimi nmeulizia lunar eclipse
Au mimi kuna sehemu nakosea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom