The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mkuu hebu endelea kutema Madini,ulichokisema hapa ni fikirishi sana..maana serious wengi hatujui propose ya maisha.

Haiwezekani uwe unakula,kulala ,kuogelea then mwisho wa siku ufe,sasa ndo nini..haimake sense kabisa
Human beings and other species under the dome are just samples for experimental purpose....

Tushalisema hili na hapa kuelewa kuwa ,we are something else inahitaji akili nene sana...

We are slaves eclosed under the dome ,no body to escape until your mission is over ...hapa kuna uelewa mpana sana mtu kunasa point...

something( beyond mind) control s our minds who reside under the dome)
If you cant understand where you came from probably ni ngumu kuelewa where you will be after ....

What the fantasy paradox game being upheld above our thinking capacity, ?? it's a marvellous moment ever your mind has to think on the importance of you being here and the paradoxy surviving hoax being spread to us....

Something to delive the quantum paradoxy ambayo imetufanya tusinzie tuone kama maisha ya hapa duniani ni kulala kisha kuota na kuamka tena hakuna jipya ambalo tunalifanya hapa zaidi ya kuwa host wa mambo yanatoendelea kwetu bila kujua....( believe all these kind of actovities every individual doing ni kama game tunapewa ili kupoteza muda na kusukuma muda kwenda mbele while internally every human body ikirun process mbalimbali )

watu wana akili bwana( watu wa sayari zilee za mbali) wakaona tutengeneze mazingira ambayo tutatengeneza viumbe kwa ajili ya kufanya majaribio mbali mbali ya maendeleo ya hatua za kiteknolojia zetu... wakaona ni kuconstruct a dome like structure then feed every condition to allow newer constructed organisms wenye uwezo wa kuundergo self replication huku tukicontrol survival rate yao basi tutakuwa na uwezo wa kumonitor kwa asilimia kubwa sana lakini tunatakiwa tuwe na close relationship na baadhi ya constructed model organisms kwa ajili ya kuendeleza mission ya maisha haya... tutatengeneza mazingira ambayo ni automatic prenishing kwa hao viumbe katika enclosed dome hiyo ili kisiwepo kiumbe hata kimoja kitakachochungulia nje pakoje na kisiweze kutuona kabisaa sisi ( The dome is highly protected with unknown concrete materials)
does this sound good to your mind? try to rethink why you are here and who is benefiting with you rather than sleeping and receiving some illusion concepts ? ( dream and you wake up in the morning while being at the original place!!! what the idea trying to overcome the illusion of perception??? do you get something over here??

Na tutengeneze false beliefs kisha tuzipandikize kwa hao new constructed species with self replicating ability ili viweze kuwa busy kusujudu kitu flan ili visiwe too much concetrating nini hatima yao na who is behind the control wa mawazo yao!!!

tutengeneze ahadi fake ya " Into the good island" ili iwe ni ahadi hewa kila kiumbe aogope kuhoji ukomo na nguvu iliyo nyuma yake inayomuwezesha kufanya chochote atakacho ....

hebu kaaa kama dk mbili empty your mind ufikirie kwanini the truth have been passing under series of paradoxy ,,, what then for !!

There is no longer "the island where we are promised " but we are here to fulfil others idea and experiments

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimecheka sana for real haina sense ila upande wa pili wa imani umeelezea yote tafiti.
Mkuu hebu endelea kutema Madini,ulichokisema hapa ni fikirishi sana..maana serious wengi hatujui propose ya maisha.

Haiwezekani uwe unakula,kulala ,kuogelea then mwisho wa siku ufe,sasa ndo nini..haimake sense kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zurri na Kiranga tofauti baina yao ni mmoja wao ana amini uwepo wa Mungu na Mitume yake na kadhalika! Huyu mwengine haamini.

Ukiangalia mtizamo wao wa kwenye hoja ni uleule! Hawaandiki hoja bali wanalazimisha iwe hoja.

Sentensi iliyoandikwa ina maana moja na ya anayejadiliana naye wao wanaipinga halafu wanaandika ya kwao yenye maana ileile moja na ya waliyempinga.
Poa.
 
Ndo mana zurri nikamuambia ana tatizo sehemu arekebishe,yeye hakujua tatizo ni lipi.

Haya mambo yanataka tafakuri ya kina na sio kufanya taqliyd ya mtu fulani.

Kwa sababu watu huiona haki kwa kufuata usahihi na dalili na wala watu hawaioni haki kwa kufunya taqliyd.

Naweka hili sawa, kule nilikupuuza ndio maana nikacheka sana. Kwahiyo sio kwamba uko sahihi.

Kukosolewa tunakubali kukosolewa ila kuwe kwa haki na usahihi. Kwahiyo naposema "Poa" huwa napuuza jambo husika sababu jambl hilo linakuwa tatizo.
 
Suala la kunipuuza sio tatizo na najua ulipuuza,sina tatizo kunipuuza.

Tumegusia alichokuambia ndugu huko juu.

Kuhusu kupuuza najua kwa nini umepuuza ndyo mana sikutaka kuendelea.

Ndio maana na mimi nikafunika kombe, pale ulipoanza kuzungumzia mambo ya "Taqlid".

Ili kadhia ipite na tusipoteze muda.
 
Hello Flat-earthers .

Comments ni nyingi sana, nilikuwa nauliza mmefikia wapi? Msimamo ni ule ule?
 
Eh!!Nimesoma vitabu vya imani, nilikuwa naonyesha mfano kuwa Manabii na Mitume walienda mbinguni,obvious through space na ni watu,kwanini wana science wasiweze kwenda..mimi nakubaliana operations za space zilifanyika na zinafanyika
Hakuna cha space wala.allien....tupo ndani ya dome. Na no one gets out!
Hizo za imani kuwa kuna mtu alifika Mbinguni kwa Mungu!!....zibaki hivyo hivyo.
But reality check ni kuwa hakuna mwansayansi wa kwenda mars wala jupiter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom