REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #1,841
Daah..! Aisee..! Umenijibu kisiasa saana hadi nimebaki nacheka peke yangu tu.Je wewe ni mfuatiliaji na upo updated katika masuala yote yahusuyo 'Flat Earth' na 'flat-earthers' duniani? Maana kuna taarifa nyingi yaonesha bado hunazo.
Je, wewe ni flat-earther?
Je, ni flat-earther wa namna gani?
Usishangae kwa mimi kukuuliza maswali hayo maana kuna baadhi ya maswali hujibiwa kwa maswali kwanza kabla ya muendelezo wa mambo mengine.
Kuhusu swali lako la kwanza;
Watu wanatembea upandeupande kwa namna gani? Wameegama kiaje?
Miguu juu kichwa chini? Juu ni wapi na chini ni wapi?
Kabla sijajibu swali lako la pili, "kisingizio cha gravity"? "Kisingizio" then what? Ili iweje? Kwa faida ya nani?
Kuna wachangiaji wengi wamekwisha kuuliza huko mwanzoni kuwa hayo yote ya "kuficha ukweli" na "kusingizia" yanafanyika ili iweje katika ulimwengu huu wa utandawazi na teknolojia ya hali ya juu?
Kuna ulazima gani wa kufanya miradi mikubwa ya mabilioni ya fedha ili tu "kuwadanganya" wakaao duniani kuwa dunia ni duara (spherical)?
Swali lako la pili na la tatu;
Awali nilitoa mfano kuwa, mtu anayeamini kuwa chombo pekee kinachosafiri baharini ni meli. Siku ukija kumuambia kuhusu uwepo wa submarines zinazopita chini ya bahari anaweza kukukatalia kata kata.
Naomba nikuulize swali jingine;
Je wajua kuwa nguvu ya mvutano si katika sumaku kwa vitu vya chuma pekee?
Je unafahamu kuhusu uwepo wa interaction kati ya electric charges?
Je unakubaliana na kipi na pia kipi hutaki kukubaliana nacho?
Swali lako la nne;
Madai ya flat Earthers kwamba Density ndiyo chanzo cha kuvipeleka vitu kuelekea katika uso wa dunia ni irrelevant.
Density ni amount of matter an object has to its volume au kwa kifupi amount of mass within a volume.
Density si force na automatically has nothing to do with acceleretion ya vitu kuuelekea uso wa dunia.
Swali jingine! Kwanini Density iwe ndiyo chanzo cha kuvifanya vitu viiangukie dunia na si kuiangukia tu bali kuanguka katika muelekeo uleule maalumu (same specific direction towards the earth).
Kwanini Density ivifanye vitu vihame kwa namna hiyo tu na si nyingineyo?
Ni Density ya namna gani hiyo?
Je hilo lina make sense kwako? Kwa misingi gani?
Karibu kwa majibu!
Kuhsu swali la kwanza nalo hujajibu. Inakuwa kama hujaziona hizo ref. picture nilizozi attach round earthers wanavyoi-represent dunia kimuonekano.! Refer hizo picha kisha jibu swali **** ulivyoulizwa. Usibishe tuu.Je wewe ni mfuatiliaji na upo updated katika masuala yote yahusuyo 'Flat Earth' na 'flat-earthers' duniani? Maana kuna taarifa nyingi yaonesha bado hunazo.
Je, wewe ni flat-earther?
Je, ni flat-earther wa namna gani?
Usishangae kwa mimi kukuuliza maswali hayo maana kuna baadhi ya maswali hujibiwa kwa maswali kwanza kabla ya muendelezo wa mambo mengine.
Kuhusu swali lako la kwanza;
Watu wanatembea upandeupande kwa namna gani? Wameegama kiaje?
Miguu juu kichwa chini? Juu ni wapi na chini ni wapi?
Kabla sijajibu swali lako la pili, "kisingizio cha gravity"? "Kisingizio" then what? Ili iweje? Kwa faida ya nani?
Kuna wachangiaji wengi wamekwisha kuuliza huko mwanzoni kuwa hayo yote ya "kuficha ukweli" na "kusingizia" yanafanyika ili iweje katika ulimwengu huu wa utandawazi na teknolojia ya hali ya juu?
Kuna ulazima gani wa kufanya miradi mikubwa ya mabilioni ya fedha ili tu "kuwadanganya" wakaao duniani kuwa dunia ni duara (spherical)?
Swali lako la pili na la tatu;
Awali nilitoa mfano kuwa, mtu anayeamini kuwa chombo pekee kinachosafiri baharini ni meli. Siku ukija kumuambia kuhusu uwepo wa submarines zinazopita chini ya bahari anaweza kukukatalia kata kata.
Naomba nikuulize swali jingine;
Je wajua kuwa nguvu ya mvutano si katika sumaku kwa vitu vya chuma pekee?
Je unafahamu kuhusu uwepo wa interaction kati ya electric charges?
Je unakubaliana na kipi na pia kipi hutaki kukubaliana nacho?
Swali lako la nne;
Madai ya flat Earthers kwamba Density ndiyo chanzo cha kuvipeleka vitu kuelekea katika uso wa dunia ni irrelevant.
Density ni amount of matter an object has to its volume au kwa kifupi amount of mass within a volume.
Density si force na automatically has nothing to do with acceleretion ya vitu kuuelekea uso wa dunia.
Swali jingine! Kwanini Density iwe ndiyo chanzo cha kuvifanya vitu viiangukie dunia na si kuiangukia tu bali kuanguka katika muelekeo uleule maalumu (same specific direction towards the earth).
Kwanini Density ivifanye vitu vihame kwa namna hiyo tu na si nyingineyo?
Ni Density ya namna gani hiyo?
Je hilo lina make sense kwako? Kwa misingi gani?
Karibu kwa majibu!
Angalia hizo attachment bhaana kisha jibu maswali yangu kwa logic. Acha meandering.Je wewe ni mfuatiliaji na upo updated katika masuala yote yahusuyo 'Flat Earth' na 'flat-earthers' duniani? Maana kuna taarifa nyingi yaonesha bado hunazo.
Je, wewe ni flat-earther?
Je, ni flat-earther wa namna gani?
Usishangae kwa mimi kukuuliza maswali hayo maana kuna baadhi ya maswali hujibiwa kwa maswali kwanza kabla ya muendelezo wa mambo mengine.
Kuhusu swali lako la kwanza;
Watu wanatembea upandeupande kwa namna gani? Wameegama kiaje?
Miguu juu kichwa chini? Juu ni wapi na chini ni wapi?
Kabla sijajibu swali lako la pili, "kisingizio cha gravity"? "Kisingizio" then what? Ili iweje? Kwa faida ya nani?
Kuna wachangiaji wengi wamekwisha kuuliza huko mwanzoni kuwa hayo yote ya "kuficha ukweli" na "kusingizia" yanafanyika ili iweje katika ulimwengu huu wa utandawazi na teknolojia ya hali ya juu?
Kuna ulazima gani wa kufanya miradi mikubwa ya mabilioni ya fedha ili tu "kuwadanganya" wakaao duniani kuwa dunia ni duara (spherical)?
Swali lako la pili na la tatu;
Awali nilitoa mfano kuwa, mtu anayeamini kuwa chombo pekee kinachosafiri baharini ni meli. Siku ukija kumuambia kuhusu uwepo wa submarines zinazopita chini ya bahari anaweza kukukatalia kata kata.
Naomba nikuulize swali jingine;
Je wajua kuwa nguvu ya mvutano si katika sumaku kwa vitu vya chuma pekee?
Je unafahamu kuhusu uwepo wa interaction kati ya electric charges?
Je unakubaliana na kipi na pia kipi hutaki kukubaliana nacho?
Swali lako la nne;
Madai ya flat Earthers kwamba Density ndiyo chanzo cha kuvipeleka vitu kuelekea katika uso wa dunia ni irrelevant.
Density ni amount of matter an object has to its volume au kwa kifupi amount of mass within a volume.
Density si force na automatically has nothing to do with acceleretion ya vitu kuuelekea uso wa dunia.
Swali jingine! Kwanini Density iwe ndiyo chanzo cha kuvifanya vitu viiangukie dunia na si kuiangukia tu bali kuanguka katika muelekeo uleule maalumu (same specific direction towards the earth).
Kwanini Density ivifanye vitu vihame kwa namna hiyo tu na si nyingineyo?
Ni Density ya namna gani hiyo?
Je hilo lina make sense kwako? Kwa misingi gani?
Karibu kwa majibu!
Kwamba mfano ukichimba shimo toka mzingo wa kaskazini halafu utoboe dunia utokee kusini, utatoka upande wa pili ukiwa umetanguliza miguu ama kichwa?
Hahahhaha dah aisee.si mchezo kabisa.Kwamba mfano ukichimba shimo toka mzingo wa kaskazini halafu utoboe dunia utokee kusini, utatoka upande wa pili ukiwa umetanguliza miguu ama kichwa?
Logic hapa ni kwamba kwa mujibu wa dunia duara walioko south wameelekea chini wakati walioko kaskazini wao wameelekea juu. Sasa ukichimba toka kaskazini utafika ukiwa umetanguliza miguu kama ulivyoanza kuchimba au ukifika katikati ya dunia utajikuta ukichimba kichwa chini miguu juu?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk