The World is a flat plane and not a globe

Uko sawa. Kwamba mission za NASA ni hoax, hazina ukweli.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mkuu sababu Wewe unachanganya na mambo ya theology naomba unieleweshe kitu hapo! Ukisoma Biblia kitabu cha ufunuo kuna sehemu inasema kulikuwa na Vita huko Mbinguni Kati ya Mikaeli na Yule Joka na Malaika zake,mwisho yule Joka na Malaika zake walishindwa na kutupwa Duniani! Mkuu hapo huoni hiyo Dome ya kioo tayari ilishaga vunjika kitambo?!
 
sawa mkuu. Lakini sasa kuna paradox kidogo. Kwani kifo ni nini? na kwa nini unasema au una evidence gani aliyekufa asiweze kurudi na kuwa mtu tena?
1.Hakuna aliekufa akarudi akiwa mtu tena, kama wanarudi ningekuwa namfahamu babu yangu upande wa baba(huyu alikufa sijazaliwa)
2. Mti tukiung'oa kuua,tukauchoma moto ukawa jivu, na tukachoma jivu kuna point tunafika hata jivu linaishia kuwa jivu au kuwa kitu kingine, sio mti tu na vitu vingine vingi lakini hauwezi tena kuurudisha kuwa mti,kadhalika binadamu pia akifa,akaoza,akawa fosils n.k hata akiwa katika form nyingine duniani au mbinguni huyo sio mtu tena ni something else. Najua wakristo hapa wanaweza kuleta case ya Yesu,hili sasa ni suala jingine nyeti katika mambo ya imani.Kama ndugu Reality anavyosema Antarctica kuna viumbe wana macho ya blue, hii sio fact ni belief
 
Umesema kweli mkuu, kuna haja kutafiti zaidi

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kuna ulimwengu wa mwili na wa roho. Ni hilo tu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Sasa kila utakapokuwa ukisogea kupima unaona utambalale kwa hio mkunjo wa uduara wa dunia utauona lini..!!? Sasa huoni kama unajijibu mwenyewe kwamba our earth is flat.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala Reality katika maenono yake yote hakuna sehemu kasema "flat earthers" pia wanasema dunia ina move na wanabishana kuhusu hilo?Sasa atuleze katika hao wanaosema ina move na wengine hai move yuko upande upi?Na mbona hatu feel iki move?😃😃😃. Flat earthers ni jumuia ya wanasayansi wavivu.
 
Jamaa Reality anataja mpaka kina buddha kama reference katika utetezi wa masuala ya science.Zurri ndio kabisaa "miyeyusho" anasema atashikilia msimamo mpaka pumzi ya mwisho😃😃😃, what a closed mind aisee?Mimi ikiwa proved kuwa ni flat beyond reasonable doubt nakubaliana.
Ni kama zilivyo dini vile watu hawamjui Mungu wanaenda kwa imani lakini wakikugangamalia mpaka unashangaa eeeh hawa wananitakia jema niende mbinguni,lakini mbona katika madhila ya hapa hapa duniani sioni "umbinguni" wao😃😃😃
 
Mkuu umeongea kibinadamu zaidi. Na ujue kisichowezekana kwa binadamu kwa Mungu kinawezekana! Hadi leo tunasema tu kifo au kafa lakini wala hatujui kifo ni nini hasa!?

Hiyo ya kumjua babu yako ni utani. Hapa tunaongelea billions of years later siyo miaka mia, mia mbili au elfu, elfu mbili nk. Who knows? labda wewe hapo ulipo ni recycle yako mwenyewe uliwai kuishi miaka mingi iliyopita huko nyuma ukafa na sasa hupo unaishi tena.

Issue inakuwa somebody cycle tu na inawezekana. Kama water cycle vile, unakuwa nucleated upya somewhere unarudishwa dunia kuishi. Na kurudi siyo lazima urudi kama ulivyoondoka ukiwa na mvi labda, no unaweza kurudi kwa kuzaliwa upya kama mototo, just try to imagine some more scenarios!!
 
Sasa kila utakapokuwa ukisogea kupima unaona utambalale kwa hio mkunjo wa uduara wa dunia utauona lini..!!? Sasa huoni kama unajijibu mwenyewe kwamba our earth is flat.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokuuona kwako ndio ukamilifu wake wa uduara hilo.

Ndio maana pakawa na ishara zinaonyesha uduara wa Dunia, ishara ambazo umbile lingine halikubali, suala la kuona hapa kuna mipaka, kama vile macho yalivyo kuwa na mipaka katika kuona.
 
15. Plane direction ni North East, kwanini?
 
Kutokuuona kwako ndio ukamilifu wake wa uduara hilo.

Ndio maana pakawa na ishara zinaonyesha uduara wa Dunia, ishara ambazo umbile lingine halikubali, suala la kuona hapa kuna mipaka, kama vile macho yalivyo kuwa na mipaka katika kuona.
Unsmssnidhs udusra wa mpira au sinia?

Mana uduara wa mpira jamaa alieleza kuhusu vile vifaa vyenye uwezo wa kuona mbali zaidi na kitu unakiona live kabisa wakati smbspo mscho ys kswsida yanadhsni dunia imepinda huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata Majirani zetu wa Kenya mwaka juzi walisema wamerusha Satellite.Lakini hapa wanasema hakuna kitu kama hicho ni minara mirefu tu.Na bado wanao ingia kenya hawajaona huo mnara mrefu uliotundikiwa hiyo satellite!
 
tukibaki hukohuko katika Biblia utakutana na Madirisha ya Mbingu (katika habari za Safina ya Nuhu na Gharika Kuu) labda kuna na Milango au Mlango wa Mbingu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…