MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,208
- 2,591
Tumia google yako vizuri usitake kurahisisha mambo. Ingia mtandaon soma unachokitaka. Usisingizie watu wa jfHaya mambo ya Sayansi huwa yana uongo mwingi sana, tatizo watu wengi wanapenda story za Sayansi basi hata muda wa kuhoji hawaupati.
Nilishawahi kuwauliza humu wajinga fulani kwamba, kuna jafribio gani la Kisayansi liliwahi kufanywa likathibitisha ya kuwa Dunia inazunguka ? Auwatuthibitshie tu ya kuwa Dunia inazunguka, majibu yao ni vituko.
Sayansi ya maumbile na hasa ya anga niliachaga kuamini, pale niliposikia habari za mtu kwenda mwezini.
We baki kusema story watu wanadiscover vitu huko mbele.
Kama ukiwa huamin sayans na utabir wa hali ya hewa usiuamin na ukiambiwa tetemeko linakuja usiamin. Kuna juha mwenzako hapo juu anasema et Hakuna satellite ni uongo tu. Hv mmekula maharage ya wap nyie viumbe???
Sent using Jamii Forums mobile app